Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuche Pemba: Mwanamume anayependa mavazi ya kike

>Macho ya wakazi wa Segerea jijini Dar es Salaam yanatufuata kila tunakokatiza mimi na Chuche Atukuzwe Pemba, hata baadhi  walisimama ili wayaridhishe macho yao kwa kile wanachokiona.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete ahimiza wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu kuvaa mavazi ya heshima

Na Anna Nkinda - Maelezo,  Nachingwea
Wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi  nadhifu  yanayoendana na maadili ya kazi yao  ili wanafunzi na jamii inayowazunguka ijifunze  kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
Mwito huo umetolewa  hivi karibuni  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike  wa chuo cha Ualimu Nachingwea mara  baada ya kumalizika kwa futari aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi wa wilaya iliyofanyika  chuoni...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

9 years ago

Bongo5

Naj: Sipendi mwanaume anayependa soka

11420891_169700666713917_852980019_n

Kama wewe ni mwanaume na ni shabiki wa ligi ya England, ligi kuu ya Tanzania au zingine jipange kwasababu umepoteza kigezo cha kumfanya Naj akuite mpenzi wake.

11363744_907604545959944_844720879_n

Muimbaji huyo wa ‘Don’t Let Me Go’ hapendi mwanaume anayependa soka.

“Sasa hivi siwezi kumdate a guy who likes football,” Naj alisema kwenye kipindi cha Chill na Sky.

“Sio type yangu cause they are so much into other guys in shorts running around for 90 minutes kicking balls halafu mwisho wa siku wanafunga magoli mawili,”...

 

9 years ago

Bongo5

Rose Ndauka ataja sifa za mwanaume anayependa kuwa naye

Msanii wa filamu za Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. Mwigizaji huyo mrembo amevitaja vigezo vya mwanaume anayeweza kuwa naye hata kama hana uwezo wa kipesa. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa, mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea lakini si mwanamke ninayependa […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Ellie na Nele: Wabadili jinsia kutoka ya kike hadi kiume na kurejesha ya kike tena

Wanaume wawili waliobadili jinsia na kubadili fikra zao katika ya safari yao ya maisha

 

10 years ago

Bongo5

Diamond au Alikiba? Mr Blue aeleza yupi anayependa kufanya naye ngoma

Kihistoria, Diamond na Alikiba ni wadogo zake Mr Blue. Wakati Mr Blue anatamba na ngoma zake ikiwemo Mapozi, hakuna aliyekuwa akiwafahau wawili hao. Na kuna wakati Blue aliwahi kusimulia namna alivyokerwa na tabia ya Diamond ya kutembea na ex wake akiwe Wema na Najma. Hata Hivyo rapper huyo wa Pesa, amesema anawakubali wote Alikiba na […]

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akiwa ameshikilia Taulo laini za kike na wanafunzi wanaosoma darasa la saba katika shule mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

Hoteli mpya ya New Pemba Seaview yafunguliwa Machomane, Pemba


Mwonekano wa Hoteli WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na wananchi wa Machomanne Chake Chake Pemba, kabla ya kuifunguwa hoteli ya Muwekezaji Mzalendo wa Pemba.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akihimiza jambo kabla ya kuifungua hoteli ya Mzalendo kisiwani Pemba, Halfan Hababu (Kidishi)kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akiwa pamoja na viongozi mbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani