Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo kufundisha uandaaji wa minofu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaWAKATI serikali imejielekeza katika kuvifanya Vyuo vya Ufundi vilivyoko Lindi na Mtwara kufundisha masomo yanayohusu rasilimali za gesi na mafuta, Chuo cha Lindi kitaanza pia kutoa mafunzo ya uandaaji wa minofu ya samaki kwa utaratibu wa kozi fupi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chuo chaomba kufundisha maadili kwa viongozi

CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimepeleka ombi serikalini kuomba kibali kuanza kutoa tena kozi za maadili kwa viongozi wanaoteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali.

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel aeleza kwanini hajachukua wasanii tofauti na washikaji zake wale wale kufundisha kwenye chuo chake, ‘TIMS’

Kile chuo cha muziki ambacho producer Nahreel wa The Industry amesema anakifungua ‘TIMS’, kitakuwa na walimu ambao ni washikaji zake tuliozoea kuwaona pamoja. Wapo wasanii na maproducer wengi wenye ujuzi na ufahamu mkubwa wa muziki Tanzania, lakini Nahreel amewachagua wakina Nikki WA Pili, Aika, Vee Money kuwanoa wanafunzi wa ‘TIMS’ bila kuhitaji wasanii tofauti na […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Minofu ya Warioba’ iliyonyofolewa na Sitta

PAMOJA na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum, Andrew Chenge kusema kuwa asilimia 75 ya katiba inayopendekezwa imebeba maudhui ya Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akifafanua jambo wakati akifungua mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Kikao hicho kimewakutanisha viongozi wakuu wa Wizara tano kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli aahidi kujenga viwanda vya Mananasi, Pamba na minofu ya Samaki Geita

 Mkazi wa Kijiji cha Nyamatongo, wilayani Sengerema, Mwanza, akiwa amevaa kichwani  mfano wa karatasi la kupigiwa kura lenye picha ya Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk John Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan. Dk Magufuli alihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji hicho.

Dk Magufuli ameahidi kujenga viwanda vya kukamua juisi za mananasi yanayolimwa kwa wingi mkoani Geita ili kuongeza thamani ya zao hilo pamoja na kufufua viwanda vya pamba.PICHA NA RICHARD...

 

5 years ago

Michuzi

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Yapongezwa Uandaaji Bajeti

  Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Robert Mtengule akiongoza kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Masajili wa Vyama vya Siasa, F. Mazone akizungumza wakati wa kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Robert...

 

5 years ago

Michuzi

MGALU AITAKA EWURA KUHARAKISHA UANDAAJI KANUNI KWA WAWEKEZAJI BINAFSI WA UMEME


Hafsa Omar-PwaniNAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma  ya Nishati na Maji(EWURA) kuharakisha uandaaji wa kanuni ambazo zitatumika kudhibiti bei za umeme ambazo zitatumiwa na wawekezaji binafsi wa umeme nchini.

Ameyasema hayo, Februari 20,2020 wakati alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya wananchi ambao walikuwa wakilalamikia bei kubwa ya umeme wanaotozwa na Mkandarasi wa kampuni ya Husk Power iliyopo katika kijiji cha Matipwili kata Mkange, Wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PETROGAS YAENDESHA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MAPENDEKEZO YA MIRADI KWA WATAALAMU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Petrogas inayojihusisha na kutoa mafunzo kwa ajili ya uandaaji wa mapendekezo ya miradi pamoja na usimamizi wake yenye makazi yake jijini Dar es Salaam Bw. Greyson Kiondo akisisitiza jambo kwenye mafunzo yanayohusu uandaaji wa mapendekezo ya miradi na usimamizi wake yaliyoshirikisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea mjini Bagamoyo katika hoteli ya Stella Maris. Msimamizi wa mradi unaohusika na kuwajengea uwezo...

 

11 years ago

Habarileo

Dk. Salim kufundisha China

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imemualika aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) ambayo sasa ni Umoja wa Afrika (AU), Dk Salim Ahmed Salim, kwenda jijini Beijing kwa ajili ya kufundisha vijana juu ya mapambano ya uhuru katika nchi za Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani