Dk. Salim kufundisha China
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imemualika aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) ambayo sasa ni Umoja wa Afrika (AU), Dk Salim Ahmed Salim, kwenda jijini Beijing kwa ajili ya kufundisha vijana juu ya mapambano ya uhuru katika nchi za Afrika.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen26 Jun
China remembers Salim 43 years on
11 years ago
MichuziDkt. Salim Ahmed Salim akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri
11 years ago
Michuzibalozi mpya wa ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akiongea na balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23...
9 years ago
TheCitizen23 Aug
SALIM SAID SALIM : Poll campaigns should address rights
10 years ago
TheCitizen02 Aug
SALIM SAID SALIM : Journalism facing challenges in election
10 years ago
TheCitizen29 Mar
SALIM SAID SALIM:Let our leaders be honest with us
10 years ago
Habarileo20 Jun
Chuo kufundisha uandaaji wa minofu
WAKATI serikali imejielekeza katika kuvifanya Vyuo vya Ufundi vilivyoko Lindi na Mtwara kufundisha masomo yanayohusu rasilimali za gesi na mafuta, Chuo cha Lindi kitaanza pia kutoa mafunzo ya uandaaji wa minofu ya samaki kwa utaratibu wa kozi fupi.
9 years ago
Habarileo23 Sep
Makocha watakiwa kufundisha soka
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
11 years ago
Habarileo07 Feb
Tusiime kufundisha kwa kompyuta
SHIRIKA la Opportunity Education Foundation (OEF) la nchini Marekani, limeichagua Shule ya Sekondari Tusiime ya Tabata kuwa ya majaribio katika ufundishaji kwa njia ya kielektroniki mkoani Dar es Salaam na kuipatia kompyuta ndogo 100.