CHUPA CHAKAVU ZAONGEZA AJIRA BINAFSI
Jamaa anayeokota chupa chakavu akikatiza eneo la Mapambano- Sinza. Mwingine akiwa eneo la Bamaga…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
UVCCM: Sekta binafsi jibu la ajira
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imesema tatizo la ajira duniani linayumbisha na kuishauri serikali kuitumia sekta. binafsi kwa kufufua karakana, uanzishwaji vyuo vya ufundi na...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Muhimu kulinda ajira binafsi za vijana nchini
KWA wakati huu ambapo dunia imo katika mageuzi makubwa ya kujibadilisha kuwa kijiji kimoja ni vema kukaa chini na kujiuliza, kujifunza pamoja na kuelewa nini hasa madhumuni yake. Jambo hilo...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
METL yaongoza kutoa ajira sekta binafsi
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini
Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Bw. Ridhiwan Wema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.
Frank-Mvungi-Maelezo
Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini kati ya 87 yaliyowasilisha maombi yake kwa Kamishna wa kazi.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwan Wema wakati wa mkutano na waansishi wa habari.
Makampuni yaliyosalia 36 hayakupata usajili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BiFmwY73h04/VA2Nv2qorFI/AAAAAAAGhvE/n9dyUi7_3ro/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-BiFmwY73h04/VA2Nv2qorFI/AAAAAAAGhvE/n9dyUi7_3ro/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ITCnkrKpSys/ViIRJXYczlI/AAAAAAAIAho/tmkKEh80SUE/s72-c/image_1.jpeg)
WAHITIMU WAASWA KUACHANA NA FIKRIA POTOFU KUWA ELIMU WANAYOIPATA ITAWAPATIA AJIRA SERIKALINI AU KWENYE SEKTA BINAFSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ITCnkrKpSys/ViIRJXYczlI/AAAAAAAIAho/tmkKEh80SUE/s640/image_1.jpeg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-lQi0GpbGI1Y/ViIRKhsfnmI/AAAAAAAIAh8/cSdwkMKdea8/s640/image_3.jpeg)
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Sekta za utalii, usafirishaji zaongeza mapato
NA SELINA WILSON, DODOMA
TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika biashara ya nje, ikiwemo huduma za utalii na usafirishaji bidhaa kupitia nchini kwenda nchi jirani na hivyo kuongeza mapato.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma, alipokuwa akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2013 na mpango wa maendeleo wa taifa wa 2014/2015.
Wassira alisema kwa mwaka 2013, katika huduma za utalii, mapato yaliongezeka kutoka...