Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM: Sekta binafsi jibu la ajira

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imesema  tatizo la ajira duniani linayumbisha na kuishauri serikali kuitumia sekta. binafsi kwa kufufua karakana, uanzishwaji vyuo vya ufundi na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

METL yaongoza kutoa ajira sekta binafsi

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji amesema kampuni yake inaongoza sekta binafsi kwa kutoa ajira kwa vijana.

 

9 years ago

Michuzi

WAHITIMU WAASWA KUACHANA NA FIKRIA POTOFU KUWA ELIMU WANAYOIPATA ITAWAPATIA AJIRA SERIKALINI AU KWENYE SEKTA BINAFSI



Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bwawani.Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Bwawani wakigani shairi lao mbele ya Mgeni rasmi.Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mhitimu kwenye Mahafali ya Kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bwawani Oktoba 16,...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

10 years ago

Habarileo

Sekta binafsi kudhibiti ujangili

SEKTA binafsi imeeleza nia ya kushiriki vita dhidi ya majangili wanaotishia maisha ya wanyama hususani tembo na wengineo kupitia mfumo wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na umma (PPP).

 

11 years ago

Habarileo

JK azindua mfuko wa sekta binafsi

RAIS Jakaya Kikwete amezindua mfuko wa sekta binafsi wa kuwezesha wawekezaji nchini katika kupata mtaji, utakaokuza biashara na kukuza uchumi nchini. Mfuko huo unajulikana kama Mkoba, unalenga kutoa mitaji inayoanzia dola milioni moja hadi milioni 15.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ichangie sekta binafsi

Enzi za Azimio la Arusha, njia zote kuu za uchumi zilimilikiwa na Serikali. Hivyo usafirishaji, shughuli za kibenki, hospitali, shule, posta, simu, maduka, viwanda na kadhalika, vyote vilimilikiwa na Serikali.

 

10 years ago

GPL

CHUPA CHAKAVU ZAONGEZA AJIRA BINAFSI

Jamaa anayeokota chupa chakavu akikatiza eneo la Mapambano- Sinza. Mwingine akiwa eneo la Bamaga…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani