Clouds Media waja na ‘Mjengoni Newsletter’
Kampuni ya Clouds Media Group imeamua kuwa karibu zaidi na wasikilizaji wake kwa kuanzisha newsletter ya kila mwezi itakayokuwa ikiangaza mambo yanayoendelea mjengoni hapo. Maelezo yaliyotolewa na kampuni hiyo yanasema: Clouds Media Group wanakuletea Mjengoni newsletter, kila mwezi pata kujua undani wa kile kinachotokea ndani ya Clouds, kuanzia vipindi vyetu, watangazaji, uandaaji wa vipindi mbalimbali. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM02 Dec
10 years ago
CloudsFM02 Dec
Wadau mbalimbali wakiwa Mjengoni wazungumzia miaka 15 ya Clouds FM
Malkia wa Mipasho Tanzania,Hadija Kopa akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena naye akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM.Mama Siza wa Segere akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena naye ni mmoja wa wasanii wa zamani waliotolewa na Clouds FM akizungumzia miaka 15 ya redio ya watu.Waanzilishi wa bendi ya Diamond Music,Alan Mulumba na King Dodoo wakiwa mjendoni clouds fm wakizungumzia sherehe za miaka 15 ya Clouds.
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
10 years ago
Habarileo23 Aug
Clouds Media waadhibiwa
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo pamoja na kutoza faini ya takribani Sh milioni 5 kwa kituo cha redio na televisheni cha Clouds, kwa kukiuka kanuni za utangazaji za mwaka 2005.
11 years ago
Michuzi06 Feb
Clouds Media brings vuMobile to Africa
10 years ago
GPL10 years ago
Mtanzania30 Apr
Clouds Media yang’ara tuzo za ubora
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Clouds Media Group imeendelea kung’ara katika tuzo za ubora na viwango vya bidhaa (superbrands) baada ya majumuisho na uchambuzi wa kina kufanyika.
Tuzo hiyo ya mwaka 2015-16 ilitolewa na Taasisi ya Uchambazi wa Viwango yenye makao makuu London Uingereza.
Utoaji wake kwa kampuni zinazohusikana kutoa huduma na kuzalisha bidhaa umeelezwa unazingatia ushauri wa wataalamu wa masoko na maoni ya watumiaji zaidi ya 600.
Akizungumza na waandishi wa habari...
10 years ago
Bongo529 Aug
Clouds Media International yafungua ofisi Jamaica