Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau mbalimbali wakiwa Mjengoni wazungumzia miaka 15 ya Clouds FM

Malkia wa Mipasho Tanzania,Hadija Kopa akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena naye akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM.Mama Siza wa Segere akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena naye ni mmoja wa wasanii wa zamani waliotolewa na Clouds FM akizungumzia miaka 15 ya redio ya watu.Waanzilishi wa bendi ya Diamond Music,Alan Mulumba na King Dodoo wakiwa mjendoni clouds fm wakizungumzia sherehe za miaka 15 ya Clouds.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

PICHA:MASOUD KIPANYA NA FINA MANGO WAKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST WAKIZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Watangazaji wa zamani wa Clouds FM,Masoud Kipanya na Fina Mango wakizungumzia miaka 15 ya redio ya watu kwenye kipindi cha Power Breakfast wakiwa na mtangazaji wa kipindi hicho,Gerald Hando....PICHA ZAIDI ZINAWAJIA SOON...

 

10 years ago

CloudsFM

PICHA ZAIDI :MASOUD KIPANYA NA FINA MANGO WAKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST WAKIZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Masoud Kipanya,Fina Mango wakiwa na Husna Abdul 'Dahuu'.Waziri Njenje aka Babu Njenje naye alikuwepo mjengoni kwenye sherehe za miaka 15 ya Clouds fm.

 

10 years ago

Bongo5

Clouds Media waja na ‘Mjengoni Newsletter’

Kampuni ya Clouds Media Group imeamua kuwa karibu zaidi na wasikilizaji wake kwa kuanzisha newsletter ya kila mwezi itakayokuwa ikiangaza mambo yanayoendelea mjengoni hapo. Maelezo yaliyotolewa na kampuni hiyo yanasema: Clouds Media Group wanakuletea Mjengoni newsletter, kila mwezi pata kujua undani wa kile kinachotokea ndani ya Clouds, kuanzia vipindi vyetu, watangazaji, uandaaji wa vipindi mbalimbali. […]

 

10 years ago

Bongo5

Mapacha wazungumzia maisha baada ya kupatana na Clouds FM

Rappers wa kundi la Mapacha, wamesema kwa sasa wameamua kufanya kazi na wana amani moyoni baada ya kusuluhisha ugomvi wao na Clouds FM na kutoa ngoma zao mbili. Mapacha Akiongea na Bongo5 member wa kundi hilo, Dotto aka D wa Maunjanja Saplayaz, alisema wao na Vinega bado wana uhusiano mzuri. “Unajua kuna wengine ni ndugu […]

 

10 years ago

CloudsFM

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA CBE CHAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 JIJINI DAR, WADAU MBALIMBALI WAPONGEZA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA

Mbunge wa Ilala Mh. Mussa Zungu ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) akikata utepe kuashiria uzindunzi wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es salaam.Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) wakiangalia moja ya picha ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa...

 

11 years ago

GPL

CHUO CHA CBE CHAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 JIJINI DAR, WADAU MBALIMBALI WAPONGEZA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA.‏

Mbunge wa Ilala Mh. Mussa Zungu ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) akikata utepe kuashiria uzindunzi wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA UTAMADUNI WAZUNGUMZIA JINSI UNAVYOCHANGIA UCHUMI HAPA NCHINI

Mgeni rasmi Dk. Salim Ahamed Salim akizungumza katika ufunguzi wa Semina iliyoandaliwa na chuo cha Waislam Morogoro kuhusiana Utamaduni na Mirathi ya utamaduni iliyopo hapa nchini semina hiyo iliyohusisha viongozi mbalimbali na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano katika hoteli ya lamada jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya utamaduni wa chuo cha kiislam Morogoro, Abdalla Bujra. Dk. Salim Ahamed Salim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani