Mapacha wazungumzia maisha baada ya kupatana na Clouds FM
Rappers wa kundi la Mapacha, wamesema kwa sasa wameamua kufanya kazi na wana amani moyoni baada ya kusuluhisha ugomvi wao na Clouds FM na kutoa ngoma zao mbili. Mapacha Akiongea na Bongo5 member wa kundi hilo, Dotto aka D wa Maunjanja Saplayaz, alisema wao na Vinega bado wana uhusiano mzuri. “Unajua kuna wengine ni ndugu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM02 Dec
Wadau mbalimbali wakiwa Mjengoni wazungumzia miaka 15 ya Clouds FM
Malkia wa Mipasho Tanzania,Hadija Kopa akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena naye akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM.
Mama Siza wa Segere akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena naye ni mmoja wa wasanii wa zamani waliotolewa na Clouds FM akizungumzia miaka 15 ya redio ya watu.
Waanzilishi wa bendi ya Diamond Music,Alan Mulumba na King Dodoo wakiwa mjendoni clouds fm wakizungumzia sherehe za miaka 15 ya Clouds.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Rj6jEYm8RNs/default.jpg)
10 years ago
GPL03 Feb
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Simulizi ya maisha ya malezi ya watoto mapacha wanne
9 years ago
Bongo521 Nov
Baada ya kusikika tena kwenye XXL, DJ Fetty ajibu kama amerejea rasmi Clouds
![Fetty2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Fetty2-300x194.jpg)
Ijumaa ya November 20 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wasikilizaji wengi wa Clouds Fm hasa wa kipindi cha burudani XXL, baada ya kupata surprise ya kumsikia tena mtangazaji maarufu na anayependwa Fatma Hassan maarufu kama DJ Fetty kwenye kipindi hicho, ikiwa ni miezi miwili imepita toka alipotangaza kuacha kazi ya utangazaji September 15 mwaka huu.
Wengi wao walicomment kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kuelezea furaha yao, na kwasababu hakusema kama amerudi rasmi kutangaza au laa,...
10 years ago
Michuzi22 Aug
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
10 years ago
MichuziTCRA YAKITOZA FAINI KITUO CHA TELEVISHENI CHA CLOUDS TV NA RADIO CLOUDS FM KWA KUKIUKA MAUDHUI YA UTANGAZAJI