Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Corona yaua DRC na Mauritius, Algeria yafuta maandamano

Mgonjwa wa corona ameaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hicho kikiwa ni kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa huo nchini humo, huku kesi za maambukizi ya kirusi hicho barani Afrika zikiendelea kuongezeka.

Waziri wa Afya wa DRC, Eteni Longondo amethibitisha hayo katika ujumbe wake kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter jana Jumamosi, sanjari na kutangaza kesi tano mpya za wagonjwa wa Covid-19 nchini humo.

Aidha jana Jumamosi, Mauritius ilisajili kifo cha kwanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano Algeria kumpinga Bouteflika

Vyama vya upinzani vimepinga harakati za rais Abdelaziz Bouteflika kutaka kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine wa miaka minne.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani waitisha maandamano DRC

Vyama kadhaa vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo vimeitisha maandamano katika mji mkuu wa taifa hilo Kinsasha dhidi ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa urais uliotarajiwa mwezi Novemba mwaka 2016.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa katoliki launga maandamano DRC

Mkuu wa kanisa katoliki nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo ameunga mkono maandamano kupinga mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

 

11 years ago

GPL

AJALI YAUA 100 ALGERIA

Ndege hii ni sawa na ile iliyopata ajali na kuua watu 100. WATU 100 wamepoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea eneo la milima ya jimbo la Oum El Bouaghi nchini Algeria. Ndege hiyo ya jeshi imeanguka ikiwa imebeba watu zaidi ya 100 wakiwemo wafanyakazi wa ndege hiyo. Ndege hiyo ya wanajeshi inaripotiwa kuanguka katika eneo lililo na milima mingi mashariki mwa mji mkuu wa Algiers. Inasemekana ndege hiyo ilikuwa ikibeba...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mapambano dhidi ya Corona DRC

Makala inayoonyesha kwa picha changamoto ambazo raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliana nazo katika mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa mwaka 2020.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yaua watu 15 DRC

Watu kumi na tano wamekufa katika kijiji cha Kimino huko Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Algeria yaua, Ubelgiji yafuzu

>Algeria imeiangushia kipigo Korea Kusini baada ya kuichapa mabao 4-2 katika mechi ya Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa kwenye Uwanja wa Beira-Rio mjini Porto Alegre, Brazil.

 

5 years ago

Michuzi

KUFUATIA UGONJWA WA CORONA (COVID-19),UFARANSA YAFUTA MATUKIO YOTE YA KIMICHEZO KWA MWAKA 2019/0202

Yassir Simba,Michuzi TV

Waziri Mkuu wa Ufaransa Edouardo Philippe ametangaza rasmi kwamba ligi kuu nchini humo Maarufu kama ligue 1 matukio yote ya kimichezo kwa mwaka 2019/2020 nchini humo yamefutwa rasmi.

Uamuzi huo wakufutwa kwa matukio yote ya kimichezo nchini Ufaransa umekuja mara baada ya nchi tofauti Duniani kukumbwa na Ugonjwa wa Corona unaosababishwa na virusi vya Covid 19 ambapo mnamo tarehe 12 March mwaka huu nchi tofauti Duniani ilisimamisha shughuli zote za kimichezo katika nchi...

 

5 years ago

CCM Blog

DRC YATANGAZA HALI YA HARI KUHUSU CORONA


Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza hali ya dharura na kuufunga mji mkuu wa Kinshasa kujitenga katika hatua ya kupambana naa maambukizi ya virusi vya Corona.

Rais Félix Tshisekedi alitangaza kuchukua hatua hizo jana jioni kupitia televisheni ya taifa.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, pamoja na kufunga mipaka ya nchi, kusitisha safari za ndani na nje ya mji mkuu zikiwemo za mabasi, ndege na majini, utekelezaji wa haraka unahitajika.

Mpaka sasa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani