Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upinzani waitisha maandamano DRC

Vyama kadhaa vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo vimeitisha maandamano katika mji mkuu wa taifa hilo Kinsasha dhidi ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa urais uliotarajiwa mwezi Novemba mwaka 2016.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Upinzani wafanya maandamano Pakistan

Polisi nchini Pakistan wamekabiliana na waandamanaji wanaoelekea katika makao rasmi ya waziri mkuu Nawaz Sharrif.

 

10 years ago

BBCSwahili

Upinzani DRC: katiba imepinduliwa

Upinzani katika Jamhuri ya Demokrasi ya Congo wasema mswada uliopitishwa na bunge ni mapinduzi ya katiba

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa katoliki launga maandamano DRC

Mkuu wa kanisa katoliki nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo ameunga mkono maandamano kupinga mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

 

5 years ago

Michuzi

Corona yaua DRC na Mauritius, Algeria yafuta maandamano

Mgonjwa wa corona ameaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hicho kikiwa ni kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa huo nchini humo, huku kesi za maambukizi ya kirusi hicho barani Afrika zikiendelea kuongezeka.

Waziri wa Afya wa DRC, Eteni Longondo amethibitisha hayo katika ujumbe wake kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter jana Jumamosi, sanjari na kutangaza kesi tano mpya za wagonjwa wa Covid-19 nchini humo.

Aidha jana Jumamosi, Mauritius ilisajili kifo cha kwanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa waitisha CCM

>Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema kampeni za mwaka huu zitakazofanywa na umoja huo, hazijawahi kuonekana tangu nchi ipate uhuru 1961.

 

9 years ago

Habarileo

Ndanda FC waitisha Stand United

TIMU ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara imesema kipigo cha bao 1-0 ilichokipata kutoka kwa Azam Alhamisi wiki iliyopita kimewapa changamoto ya kujipanga vizuri zaidi kwa michezo ijayo ikianzia leo dhidi ya Stand United.

 

9 years ago

Mtanzania

Mgogoro Zanzibar waitisha CCM

Pg 2 DEC 2*Yaunga mkono juhudi za Dk. Magufuli

 

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar unaitia doa Tanzania kwenye uso wa kimataifa, licha ya kwamba Serikali ya awamu ya tano imeanza kutekeleza vizuri majukumu yake.

Nape ambaye jana alitembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd zilizopo Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, alisema kinachofanywa na Rais Dk. John Magufuli kwa sasa ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Wapiga kura wanaoelea waitisha CCM

Wawakilishi boraElias Msuya na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

KATIBU wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema licha ya matokeo ya utafiti wa taasisi ya Twaweza kuonesha kuwa chama hicho kinaongoza dhidi ya wapinzani, bado kuna wasiwasi wa kura za wananchi wasiofungamana na upande wowote (swing voters).

Akizungumza katika mjadala wa matokeo ya utafiti wa Twaweza wa Tanzania kuelekea 2015 uliozinduliwa jana jijini Dar es Salaam, Nape alisema kuna haja ya kuwaangalia wapiga kura...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani