Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wakenya waanza kutekeleza amri ya kutotoka nje usiku

Amri ya kutotoka nje nchini Kenya kuanzia saa moja usiku hadi saa kumi na moja alfajiri imeanza kutekelezwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Polisi Kenya ashtakiwa kwa mauaji wakati wa amri ya kutotoka nje usiku

Polisi mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa mauaji ya kijana Yasin Moyo, 13, ambaye alipigwa risasi akiwa barazani kwao

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Kenyatta amkanya mwanae kwa kuvunja amri ya kutotoka nje usiku

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amefichua jinsi mtoto wake wa kiume alivyovunja marufuku ya kutotembea nje iliyowekwa nchini humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Idadi ya maambukizi Rwanda yaongezeka licha ya amri ya kutotoka nje

Rwanda imetangaza maambukizi mapya mengine 13 chini ya wiki mbili huku taifa likiwa limefunga mipaka kama juhudi za kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14 kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi amri ya kutotoka nje inavyotekelezwa na mataifa tofauti duniani kuzuia virusi vya corona

Nchi zote duniani zitachukua hatua ambazo hazijawahi kuchukuliwa kabla ya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona, kuanzia hatua kali kabisa, za wastani hadi zile za kawaida

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:amri ya kutotoka nje Liberia

Rais wa Sierra Leone Ellen Johnson Sirleaf ametangaza amri ya kutotoka nje nyakati za usiku kufuatia kuenea kwa Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Amri ya kutotoka nje yaondolewa Baghdad

Raia kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad wamesherehekea kuondolewa kwa amri ya kutotembea ya miaka 12 mjini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Amri ya kutotoka nje yatolewa Garissa

Serikali ya Kenya imetangaza amri ya kutotoka nje usiku kwa muda wa wiki mbili katika kaunti kadhaa kaskazini mashariki mwa Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Amri ya kutotoka nje kwa siku 3 S.Leone

Serikali ya Sierra imetoa amri ya kutotoka nje kwa siku tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani