Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wanamziki wanavyopamabana na kuondoa upweke

Nyota wa muziki akiwemo Coldplay,wanaimba moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii wakiwa nyumbani kuonyesha umuhimu wa kujitenga huku Covid-19 ikizidi kusambaa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Wanamziki Liam na Alesso wamezindua video ya 'Midnight'

Licha ya changamoto za janga la virusi vya corona wanamuziki Liam Payne na Alesso wamerekodi video ya wimbo wao mpya wa Midnight.

 

9 years ago

GPL

KOLETHA ACHOSHWA NA UPWEKE!

Muigizaji wa muda mrefu, Koletha Raymond. BRIGHTON MASALU KOLETHA Raymond, ambaye ni muigizaji wa muda mrefu, amesema kwa sasa amechoshwa na upweke huku akiweka wazi kuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano endapo atapata mwanaume mwenye sifa stahiki. ‘Akidondosha silabi’ na Amani, Koletha alisema kwa muda mrefu sasa amekuwa peke yake huku pombe ikigeuka faraja pekee ya moyo wake, kutoka na kukosa mapenzi ya dhati...

 

10 years ago

GPL

CATHY ATESWA NA UPWEKE!

IMELDA MTEMA MSANII mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo,  Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa kwa sasa yupo katika kipindi kigumu cha upweke kutokana na mume wake kuhamishiwa Kisiwani Unguja kikazi. MSANII mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo,  Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema kuwa hakuna kitu kigumu na kinachomtesa kama kutenganishwa na mtu ambaye anampenda...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo anaishi maisha ya 'upweke'

Mtayarishi wa sinema inayoangazia maisha ya mwanakandanda wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anasema kuwa nyota huyo ni mpweke mno.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wazee wa Uingereza watatizwa na upweke

Huduma za simu iitwayo Silver line, iliyoanzishwa kusaidia wazee wanaokumbwa na upweke Uingereza imepokea idadi kubwa ya wapigaji simu.

 

11 years ago

GPL

UMECHOSHWA NA UPWEKE? ZINGATIA HAYA

NI wiki nyingine ambapo Mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Kwa ndugu zangu ambao mpo kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, nawatakia mfungo mwema. Tukirudi kwenye mada yetu ya hapo juu, leo nataka kuzungumza na wewe rafiki yangu ambaye umri wa kuingia kwenye ndoa umefika lakini bado hujabahatika kumpata mwenzi wako ambaye...

 

11 years ago

GPL

USIKAE NA UPWEKE MOYONI MWAKO!

HAPA kwenye Love & Life ni mahali sahihi pa kuongeza ufahamu kuhusu mambo ya uhusiano na mapenzi. Naamini kila siku umeendelea kuelimika kupitia hapa. Yes! Leo nitazungumzia juu ya kuweza kuushinda upweke katika moyo wako. Natambua kuna baadhi ya wanawake au wanaume wanakaa kipindi kirefu bila ya kutamkiwa kuwa wanapendwa, kutokana na hali hiyo wanakuwa wapweke na wakati mwingine kufikiria kuwa wao ni wabaya na wasiostahili...

 

11 years ago

GPL

USIKAE NA UPWEKE MOYONI MWAKO – 2

TUNAENDELEA kujifunza kuhusu mapenzi marafiki zangu. Hakuna kitu kibaya kama kukaa na upweke moyoni. Kamwe usijaribu kufikiri kuwa huna haki ya kuwa na mwenzi wa maisha.
Ni mawazo potofu. Hata kama utakuwa umekaa peke yako kwa kipindi kirefu, amini kuwa kuna mahali pengine ulikuwa unakosea ndiyo maana ikawa hivyo na sasa unatakiwa kujitambua na kuanza mambo kwa upya kabisa.
Kama mtakumbuka, wiki iliyopita tuliishia pale...

 

11 years ago

GPL

UPWEKE, TATIZO LA KIHISIA LINALOWATESA WENGI! - 2

KUJUA unayopaswa kufanya ni vizuri maana kutakuweka mbali na makosa. Ndiyo ukweli wenyewe rafiki zangu wapendwa. Ni mada iliyoanza wiki iliyopita ikizungumzia upweke. Wiki iliyopita nilieleza kuwa, ili kujiweka mbali na upweke ni pamoja na kujijali kwa maana ya usafi na mambo mengine. Siyo lazima wakati wote uwe safi kwa kuwa inawezekana wengine wanafanya kazi ngumu ambazo mazingira yake lazima anakuwa mchafu, lakini baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani