Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF wamtaka Waziri Chikawe afute kesi

Jumuiya ya Vijana ya CUF (JUVICUF) imemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe kufuta kesi zote zilizofungliwa kutokana na tukio lililotokea mapema wiki hii la viongozi wa chama hicho na wafuasi kupigwa na kukamatwa na polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MIGOGORO KANISANI: Moravian wamtaka Chikawe aingilie kati

>Viongozi wa Kanisa la Moravian nchini, wamemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe aingilie kati mgogoro unaoendelea kufukuta ndani ya kanisa hilo.

 

10 years ago

StarTV

CUF wamtaka Mwenyekiti wa tume ya ZEC kubatilisha uamuzi wake

Chama cha wananchi CUF kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Zanzibar, Jecha Salum Jecha kubatilisha uamuzi wake wa kufuta matokeo ya uchaguzi Visiwani humo, na kuitisha uchaguzi mpya ndani ya siku 90.

Chama hicho kimesema hakitambui uamuzi huo kwa kuwa umekiuka baadhi ya vifungu vya katiba kwa kutoa uamuzi usioshirikisha wajumbe wengi wa tume hiyo.

 Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Twaha Taslima alitoa tamko la chama hicho Jijini Dar es Salaam kuhusiana na uamuzi huo wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Chikawe akiri kosa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, amekiri mbele ya viongozi wa serikali za vijiji saba vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa North Mara, kuwa serikali ilifanya makosa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Chikawe awaonya Wakimbizi Nyarugusu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amewataka wakimbizi wa Kambi ya Nyarugusu kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wenye umri mdogo kwa kuwa ni kuwiangiza katika matatizo wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri chikawe akutana na balozi wa marekani

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Waziri Chikawe na Balozi huyo walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo,...

 

10 years ago

Habarileo

Upelelezi kesi ya wafuasi wa CUF bado kukamilika

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.UPEELELEZI wa kesi ya kutotii amri halali ya polisi na kufanya mkusanyiko usio halali inayowakabili wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) haujakamilika.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA KUTETEA JIMBO LAKE

PIX 1Na Felix Mwagara, Nachingwea.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe ametangaza rasmi kuwa atagombea tena katika nafasi ya ubunge kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu ujao na kulitetea jimbo lake. Alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja na viongozi wa CCM wa Wilaya na Kata ya Mtua, wilayani Nachingwea katika sherehe ya kuwapokea viongozi na wanachama wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliojiunga na...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya TTCL katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo, ambapo viongozi wa Mkoa, Wilaya pamoja na mamia ya wananchi kutoka vijiji vilivyonufaika na mtandao huo wa mawasiliano vya Kiegei A, B, Namatunu, Nanjihi, Kilimarondo, Mbondo, Nahimba na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani