Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA KUTETEA JIMBO LAKE

PIX 1Na Felix Mwagara, Nachingwea.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe ametangaza rasmi kuwa atagombea tena katika nafasi ya ubunge kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu ujao na kulitetea jimbo lake. Alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja na viongozi wa CCM wa Wilaya na Kata ya Mtua, wilayani Nachingwea katika sherehe ya kuwapokea viongozi na wanachama wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliojiunga na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne. Chikawe alisema kupitia taasisi zake yakiwemo Majeshi ya Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Idara ya Wakimbizi pamoja na Idara zingine zilizoko chini ya wizara hiyo, imepata mafanikio makubwa hususani katika jukumu la msingi la ulinzi na usalama wa nchi jambo ambalo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KATIKA JIMBO LAKE LA UCHAGUZI

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea  silaha za jadi, upinde, mishale na usinga kutoka kwa  Machifu wa kabila la Wakonongo  katika mji wa Inyonga wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla aridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia mifugo yao kenye Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.
Kutokana na hali hiyo Mbunge kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Wassira atangaza kutetea ubunge Bunda

>Mbunge wa Jimbo la Bunda (CCM), Stephen Wassira ametangaza kuwa atatetea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao, huku akijigamba kuwa yeye ni “mwarobaini wa matatizo” yanayowakabili wakazi wa jimbo hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Asbel Kiprop kutetea taji lake Beijing

Asbel Kiprop kutoka Kenya kutetea taji lake mjini Beijing baada kufuzu kwa fainali

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe atangaza kuwania tena ubunge

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Nachingwea, Mathias Chikawe ametangaza kuwa atagombea tena ubunge kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa mwakani, huku akiahidi kuibuka na ushindi.

 

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.  Diwani...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE


 Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60  Mbunge wa Jimbo la  Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na  Mkuu wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana, baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Nyalandu atangazwa kutetea nafasi yake ya ubunge jimbo la Singida kaskazini

IMG_0213

Mbunge mteule wa jimbo la Singida kaskazini, Lazaro Samwel Nyalandu (katikati) akiwa amepumzika akisubiri kutangazwa kwa matokeo ya nafasi ya ubunge leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida vijijini, Naruba Hanje na kulia ni Shyrose Matembe anayewania nafasi ya ubunge viti maalum mkoa wa Singida.

IMG_0239

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida kaskazini, Hajat Farida Mwasumilwe, akimkabidhi cheti cha kuthibitishwa kuwa mbunge, Lazaro Samwel Nyalandu leo.

IMG_0249

Mbunge mteule Lazaro Samwel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani