Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT chakanusha kuisaidia CCM fedha za kampeni

Chama cha Walimu Tanzania CWT kimekanusha habari zinazoenea katika mitandao ya kijamii kuwa viongozi wa chama hicho wamewasaliti wenzao na kukisaidia Chama cha Mapinduzi CCM fedha za Kampeni kiasi cha shilingi bilioni 35.

CWT pia wamepeleka taarifa hiyo katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kuifanyia uchunguzi ili kumbaini anayesambaza taarifa hizo na iwapo atabainika atafikishwa mahakamani.

Baadhi ya tuhuma ambazo CWT kimetuhumiwa katika taarifa hiyo inayoenea kwa sasa ni kuwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

CWT watakiwa kuwa wawazi na fedha za michango

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema NchimbiUONGOZI wa Chama cha Walimu (CWT) umenasihiwa kuongeza uwazi juu ya fedha za chama zinazotokana na michango ya walimu ili kupunguza shutuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha.

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU

Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.Kada Mtiifu wa Chama cha...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA ACT - TANZANIA CHAKANUSHA KUMILIKIWA NA ZITTO KABWE

ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa Watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania. Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA". Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha Watanzania wote...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Fedha za Stanbic ziligharimia kampeni Ukawa?

UCHUNGUZI unaoendelea wa serikali kuhusu ufisadi wa takribani shilingi bilioni 13 katika mkopo ul

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Vijimambo

Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni

Mgombea ubunge jimbo la Welezo, Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa KimaraMeza kuu ikimsikiliza kwa makini mgombea Ubunge wa jimbo la Weleze Bi Saada Mkuya(hayupo pichani) akijinadi na kumwaga sera. Mkutano huu pia ulihudhuriwa na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo la Welezo, Hassan Hafidh (wa pili kulia waliokaa)Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani