Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DADPS RUANGWA YATOA TREKTA KWA KIJIJI KATIKA KUENDELEZA KILIMO

 Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
Akisaini mikataba ya makabidhiano ya Trekta lililonunuliwa kupitia
miradi ya DADPS huku Mwenyekiti wa kijiji cha Kilimahewa,Bw Ally Seif
Malongola akisubiri kusaini mkataba huo,  Trekta lililokabidhiwa kwa kijiji cha kilimahewa wilayani Ruangwa   Afisa Mtendaji wa kijiji cha kilimahewa,Bw Rajab
Mohamed akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi kabla ya kukabidhiwa kwa
Trekta ,Kutoka kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Ruangwa,Silvanus
Kilowoko...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wananchi wawajia juu wenzao kwa kuuza eneo la kijiji lililotengwa kwa ajili ya Kilimo na Ufugaji

Na Amiri kilagalila,Njombe

Wananchi wa vijiji vya kata ya Itulahumba halmashauri ya wilaya ya Wangingombe mkoani Njombe kwa pamoja wamepinga kitendo kinachofanywa na baadhi ya wananchi wenzao kwa kushirikiana na mtendaji wa kijiji hicho kuuza eneo ambalo limetengwa kijijini hapo kwaajili ya ufugaji na kilimo.

Eneo hilo lenye ukubwa wa zaidi ekari 80 ambalo limeanza kukatwa miti na kulimwa bila makubaliano ya kamati za...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BITEKO AWARUHUSU WAKAZI KIJIJI CHA MUNDINDI,LUDEWA KUENDELEZA MASHAMBA YAO KWA KULIMA MAZAO YA MUDA MFUPI

Waziri wa Madini Dotto Biteko amewaruhusu wakazi wa kijiji cha Mundindi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuendeleza mashamba yao kwa kulima mazao ya muda mfupi mpaka pale muwekezaji wa mradi wa liganga atakapowalipa fidia zao.

Hayo ameyasema alipotembelea mradi wa liganga uliopo mkoani humo baada ya wakazi wa kijiji hicho kulalamika kuwa wanazuiliwa kulima mashamba yao pasipo kulipwa fidia yoyote kitu ambacho kinawarudisha nyuma kimaendeleo.

Wananchi hao wandai kuwa walikubali kupisha mradi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali ya kijiji yatoa masharti kwa wanaoogelea

SERIKALI ya Kijiji cha Mwanzugi, wilayani Igunga, Tabora imepiga marufuku wananchi kutembea na nguo za ndani baada ya kuogelea katika bwawa la kijiji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ...

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KWA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA KILIMO ARUSHA

Gari maalumu la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) likiwa kwenye uwanja wa maonesho ya Nanenane Njiro jijini Arusha,wananchi wanaotembelea banda la TCRA hupata elimu namna gari hilo linavyofanya kazi. 
Mmoja wa wananchi akipata maelezo kwenye banda la TCRA kwenye uwanja wa Taso ,Njiro jijini Arusha.Afisa wa TCRA,Oswald Octavian(kulia)akimweleza jambo namna taasisi hiyo inavyofanya kazi ya kusimamia mawasiliano nchini.

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki yatoa elimu ya utumiaji mawasiliano Wilayani Ruangwa

*Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa aipongeza TCRA
Na Chalila Kibuda Globu ya Jamii aliyekuwa wilayani Ruangwa
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika Shule mbili za Sekondari wilayani Ruangwa  ili   Wanafunzi na walimu wajue namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.
Shule za Sekondari zilizipata elimu ya Mawasiliano wilayani Ruangwa ni  Kassim Majaliwa na Likunja
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika Shule hizo Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

NMB yawezesha Kilimo cha katani nchini, yatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya matrekta


Waziri Mkuu – Kassim Majaliwa akikabidhi mkopo uliotolewa kwa mkopo na Benki ya NMB wa matrekta  11 na matrela  yake 22 yenye thamani ya sh. Bilioni  moja, kwa Vyama Vinne vya ushirika vya wakulima wa mkonge Mkoani Tanga. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge mkoani Tanga – Greyson Nyari akionyesha ufunguo wa moja ya matrekta aliyokabidhiwa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa moja ya matrekta hayo  Greyson  Nyari, Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge  Mkoa wa Tanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani