Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ya kijiji yatoa masharti kwa wanaoogelea

SERIKALI ya Kijiji cha Mwanzugi, wilayani Igunga, Tabora imepiga marufuku wananchi kutembea na nguo za ndani baada ya kuogelea katika bwawa la kijiji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Serikali yatoa masharti kwa Chama cha Muslim Brotherhood

Waziri Mkuu wa Mpito wa Misri asema wafuasi wa Muslim Brotherhood wanaweza kushiriki Uchaguzi Mkuu ikiwa watalaani ghasia

 

10 years ago

BBCSwahili

Venezuela yatoa Masharti kwa Marekani

Venezuela imeipa wiki mbili Marekani kuondoa baadhi ya Wanadiplomasia wake walio nchini Venezuela

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?

Nchini Uingereza watu wameanza kurejelelea shughuli zao za kawaida, watu kukutana, baadhi ya watoto wanarejea shuleni, maeneo ya maonyesho ya magari yanafunguliwa, na masoko kufunguliwa tena.

 

11 years ago

Michuzi

DADPS RUANGWA YATOA TREKTA KWA KIJIJI KATIKA KUENDELEZA KILIMO

 Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
Akisaini mikataba ya makabidhiano ya Trekta lililonunuliwa kupitia
miradi ya DADPS huku Mwenyekiti wa kijiji cha Kilimahewa,Bw Ally Seif
Malongola akisubiri kusaini mkataba huo,  Trekta lililokabidhiwa kwa kijiji cha kilimahewa wilayani Ruangwa   Afisa Mtendaji wa kijiji cha kilimahewa,Bw Rajab
Mohamed akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi kabla ya kukabidhiwa kwa
Trekta ,Kutoka kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Ruangwa,Silvanus
Kilowoko...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014   Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwidu,Mzee Mohamed Said kwa Bw. Chomiki kutoka...

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC yatoa onyo kwa serikali ya Kenya

Mahakama ya ICC, imeonya serikali ya Kenya dhidi ya kufichua taarifa kuhusu kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta kwa vyombo vya habari.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya afya

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na ustawi wa jamii Dk. Donan Mbando akiwa kwenye picha ya pamoja na madaktari na viongozi wa chuo kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili (MUHAS)  mara baada ya kufunga mkutano mkuu watatu wa sayansi ya afya uliondaliwa na chuo hicho jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Kushoto kwake ni Makamu mkuu wa MUHAS, Prof. Ephata Kaaya.  Katibu Mkuu Wizara ya Afya na ustawi wa jamii Dk. Donan Mbando akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yatoa vibali vya madini kwa wananchi

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles KitwangaNAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amesema, serikali imekuwa ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kwa wananchi wanaohitaji kufanya hivyo, pindi inapogundua kuna maeneo yana madini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali ilegeze masharti uanzishaji viwanda

SERIKALI imeshauriwa kupunguza masharti kwenye taratibu za uanzishwaji wa viwanda vidogo ili kutoa fursa kwa vijana wengi kujiajiri kupitia sekta hiyo. Kauli hiyo ilitolewa na mshauri wa mazao ya maziwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani