Serikali yatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya afya
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hq53kwYruC8/VWxoib-va9I/AAAAAAAC5YA/sOY-FYMhLl8/s72-c/MOHAS%2BPIC%2B1.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na ustawi wa jamii Dk. Donan Mbando akiwa kwenye picha ya pamoja na madaktari na viongozi wa chuo kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) mara baada ya kufunga mkutano mkuu watatu wa sayansi ya afya uliondaliwa na chuo hicho jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Kushoto kwake ni Makamu mkuu wa MUHAS, Prof. Ephata Kaaya.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na ustawi wa jamii Dk. Donan Mbando akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4s2XKJsQlf0/VfbCnpPkJjI/AAAAAAAAKvc/eh3JzGWrXYw/s72-c/IMG-20150913-WA0027.jpg)
NesiWangu: CSI- Yatoa Undani wa Changamoto ya Huduma ya Afya ...
![](http://1.bp.blogspot.com/-4s2XKJsQlf0/VfbCnpPkJjI/AAAAAAAAKvc/eh3JzGWrXYw/s640/IMG-20150913-WA0027.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GxX3dJrXkhk/XkueFOJCOXI/AAAAAAALd2Q/PNdo-Zug3YgEYizcgHbJwUQyF0BEShefgCLcBGAsYHQ/s72-c/5-3-1.jpg)
SERIKALI YATOA ELIMU KWA WACHIMBAJI WA DHAHABU JUU YA MADHARA YA MATUMIZI YA ZEBAKI ILI KULINDA AFYA ZAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-GxX3dJrXkhk/XkueFOJCOXI/AAAAAAALd2Q/PNdo-Zug3YgEYizcgHbJwUQyF0BEShefgCLcBGAsYHQ/s640/5-3-1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-3-1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Uwezo wa vyuo vikuu kuchukua wanafunzi wa sayansi bado changamoto kwa Tanzania kutimiza malengo ya EFA
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa wadau wa sekta ya elimu pamoja na washirika wa maendeleo.(Picha...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_0341.jpg?width=650)
UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA TANZANIA KUTIMIZA MALENGO YA EFA
11 years ago
MichuziWizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yatoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya tehama
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Z6l2sXPN8Fc/VTo7iZvvkJI/AAAAAAAAGyg/xc3ta91epWc/s72-c/P4249105.jpg)
MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT) YAKABIDHIN RASMI KAMBI YA KANDA ILIYOPO MKOANI RUKWA KWA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z6l2sXPN8Fc/VTo7iZvvkJI/AAAAAAAAGyg/xc3ta91epWc/s1600/P4249105.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tuzikabili changamoto hizi za afya kwa nguvu zote
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-S_DlRykBlSE/XslSLG9Gn_I/AAAAAAALrXs/OgiqMVUAhwQ7p-q4WCYxqs8kAlKMiTftwCLcBGAsYHQ/s72-c/3e9c260a-da8a-4ebd-a43f-609e3b2878f0.jpg)
SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI MAPUNGUFU MBALIMBALI
Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.
Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametaja mapungufu yaliyobainishwa na kamati hiyo kuwa moja kati ya mashine...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PSTz7Qbt8yU/Xm54mpl4JHI/AAAAAAALjww/rR1Mfo55lygl0fEbLkBjleTVGMiUqgKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/03c006a1-dc07-42e4-95c9-bc205f2cd875.jpg)
Serikali yatoa wito wananchi kujiepusha na rushwa wakati huduma za afya-Dkt. Subi
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha kutoa rushwa kwa wahudumu wa afya pindi wanapopatiwa huduma kwani kutoa kutoa huduma ni wajibu wao.
Hayo ameyasema Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Wanawake Wanataka Nini inayoratibiwa na Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya Utepe Mweupe Tanzania ambayo hufanyika Kila Machi...