Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daftari la NEC lasuasua Njombe

Na Michael Mapollu, Njombe
HATUA ya uandikishwaji wa Daftari ya Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa Elektroniki (BVR) katika Mkoa wa Njombe, jana lilianza katika kata tatu za Mjimwema, Yakobi.
Pamoja na kuanza uandikishaji katika kata hizo, yameibuka malalamiko kutoka kwa wananchi ambao walidai kuwa kasi ya uandikishaji imekuwa ikisuasua huku mwananchi mmoja akiandikishwa kwa muda mrefu.
Katika vituo vya uandikishaji vilivyopangwa katika Kata ya Mjimwema, mwandishi wa habari alitembelea vituo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MKOANI NJOMBE

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote wa Mkoa wa Njombe, kuwa itaanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya “Biometric Voters Registration” kuanzia tarehe 16/03/2015 hadi tarehe 12/04/2015.   Aidha katika kata ya Utengule ya Mji mdogo wa Makambako Uboreshaji utafanyika kuanzia tarehe 9-15/03/2015. Uandikishaji huo utahusisha Halmashauri zifuatazo:-

Mkoa

Wilaya

Kata

Idadi ya Vituo

Tarehe Ya Uandikishaji

NJOMBE

...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya mwendelezo wa Uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura mkoani Njombe

IMG_0321

Mkurugenzi wa idara ya habari ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bibi Ruth Masham.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi wanapatikana kwenye mitandao ya kijamii kupitia anuani zifuatazo.

http://tumeyataifayauchaguzi.blogspot.com 

https://www.facebook.com/TumeyaTaifayaUchaguziTanzania https://www.youtube.com/channel/UCTA5ilGDEjAju3RbWhSORvw Follow @TumeYaUchaguzi   http://www.hulkshare.com/TUME_YA_TAIFA_YA_UCHAGUZI Kwa maoni na ushauri waandikie Tume  tumeyataifayauchaguzi@gmail.com

TANGAZO NJOMBE.doc...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE FEBRUARI 23.

Na Chalila Kibuda
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya uchukuaji wa alama za vidole (BVR) kwa mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe utaanza Februari 23 hadi Machi 1 mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Ruth Masham kwa niaba ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ilisema zoezi hilo litapita katika kata za Kitisi,Kivavi,Lyamkena,Maguvani,Majengo ,Makambako ,Mji Mwema,Mlowa,na Mwembetogwa na zoezi hilo litaanza majira ya saa 2...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yaanza kuboresha daftari

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa imeanza maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Taarifa hiyo ilitolewa na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu, Hamid...

 

11 years ago

Mwananchi

Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa

Pamoja na kushindwa kutaja tarehe rasmi ya kuanza kuboresha daftari la kudumu la wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema daftari hilo litaboreshwa kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

NEC yakiri kasoro daftari la wapigakura

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema daftari la kudumu la wapiga kura lililopo limegubikwa na kasoro nyingi zinazowafanya watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa kuinyooshea kidole tume hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

NEC, wanasiasa kujadili daftari la wapigakura

 James Mbatia WAKATI Uandikishaji katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu ya wiki ijayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inakutana na Vyama vya siasa kujadili mchakato huo.

 

11 years ago

Habarileo

NEC yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza mchakato wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kwa kuanza kuhakiki vituo vya uandikishaji na kupiga kura vitakavyoongezeka kwa lengo la kuvisogeza karibu zaidi na wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani