NEC yakiri kasoro daftari la wapigakura
>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema daftari la kudumu la wapiga kura lililopo limegubikwa na kasoro nyingi zinazowafanya watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa kuinyooshea kidole tume hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa
10 years ago
Habarileo12 Feb
NEC, wanasiasa kujadili daftari la wapigakura
WAKATI Uandikishaji katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu ya wiki ijayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inakutana na Vyama vya siasa kujadili mchakato huo.
10 years ago
Habarileo14 Aug
NEC yataja masharti Daftari la Wapigakura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linalotarajiwa kuanza hivi karibuni linamhusu kila raia mwenye sifa ya kupiga kura.
11 years ago
Habarileo30 Jan
NEC yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza mchakato wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kwa kuanza kuhakiki vituo vya uandikishaji na kupiga kura vitakavyoongezeka kwa lengo la kuvisogeza karibu zaidi na wananchi.
10 years ago
Mwananchi22 Jan
NEC: Hakuna mabadiliko ya ratiba Daftari la Wapigakura
11 years ago
Mwananchi29 May
NEC, Upinzani wakinzana kuhusu uboreshaji wa daftari la wapigakura
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Daftari la Wapigakura kuboreshwa
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Daftari la wapigakura D’Salaam kizungumkuti
10 years ago
Habarileo03 May
RC ahimiza kujiandikisha daftari la wapigakura
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe amewahimiza wananchi wenye sifa wakiwemo wafanyakazi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.