Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daftari la wapigakura sasa rasmi wiki ijayo

Mkuu wa Idara ya Elimu ya Mpiga Kura na Habari wa NEC, Ruth Masham SASA ni rasmi kwamba kazi ya kuliboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura nchini kote, itaanza Jumatatu ijayo Februari 16 na kumalizika Aprili 29 mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uboreshaji wa Daftari la Wapigakura sasa mwakani

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu, Damian LubuvaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Daftari la Wapigakura kuboreshwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema Daftari la Kudumu la Wapigakura, litafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya, ili kuwawezesha vijana waliotimiza umri wa miaka 18, ambao hawakujiandikisha, kupata fursa ya kupigakura.

 

11 years ago

Mwananchi

Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa

Pamoja na kushindwa kutaja tarehe rasmi ya kuanza kuboresha daftari la kudumu la wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema daftari hilo litaboreshwa kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

9 years ago

Mwananchi

Daftari la wapigakura D’Salaam kizungumkuti

Uhakiki wa majina ya wananchi watakaokuwa na sifa za kupiga kura Oktoba 25,  umeanza utekelezaji wake Dar es Salaam, huku katika baadhi ya kata vitabu vya majina vina taarifa zilizochanganywa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya daftari la wapigakura

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, ameonesha kutoridhishwa na utaratibu mbovu unaotumika kuandikisha wananchi katika daftari la kudumu la wapiga kura, kutokana na kuwa na mianya inayoweza kuingiza wasio raia wa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Silaa: Jiandikisheni Daftari la Wapigakura

Wakazi wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

RC ahimiza kujiandikisha daftari la wapigakura

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe amewahimiza wananchi wenye sifa wakiwemo wafanyakazi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema yazungumzia daftari la wapigakura

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua hatua za haraka kurekebisha makosa yaliyojitokeza katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 

10 years ago

Habarileo

Daftari la Wapigakura kuboreshwa mwakani

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani