Dakika 480 zilivyopagawisha mashabiki 10,000 Kilimanjaro
Mji wa Moshi na vitongoji vyake mkoani Kilimanjaro ulisisimka na kutikisika, wakati mashabiki 10,000 wa muziki walipofurika kushuhudia tamasha la kwanza lililojumuisha wasanii 10 wa muziki wa kizazi kipya waliotumia dakika 480 kuburudisha katika ziara maalumu inayojulikana kwa jina la Kili Music Tou
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
RFI24 Feb
Rubik's Cube Mona Lisa fetches 480,000 euros at Paris auction
Rubik's Cube Mona Lisa fetches 480,000 euros at Paris auction RFIView Full coverage on Google News
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19 AnandTechView Full coverage on Google News
11 years ago
BBCSwahili15 May
CAF: Mashabiki 5,000 pekee Kinshasa
Shirikisho la CAF lasema ni mashabiki 5,000 pekee watakaoruhusiwa uwanjani Kinshasa.
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Miti 300,000 kupandwa Mlima Kilimanjaro
Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa mazingira mkoani Kilimanjaro (Teaca) limelenga kupanda miti zaidi ya 300,000 katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kurudisha uoto wa asili uliopotea.
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”
Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.
10 years ago
Michuzi
ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...
11 years ago
BBCSwahili25 Aug
Majeshi 480 wa Nigeria watorokea Cameroon
Wanajeshi 480 wa Nigeria wamekimbilia maisha yao Cameroon baada ya kulemewa na wapiganaji wa Boko Haram
11 years ago
KwanzaJamii25 Aug
WANAJESHI 480 WA NIGERIA WATOROKEA CAMEROON
Wanajeshi 480 wa Nigeria wametorokea maisha yao nchi jirani ya Cameroon kufuatia makabiliano makali dhidi ya wapiganaji wa kundi la Kiislamu la Boko Haram.
Msemaji wa Jeshi la Cameroon Luteni Kanali Didier Badjek amethibitisha kisa hicho na kusema kuwa wamepokonywa silaha na sasa wamewekwa katika shule .
Mapigano hayo yanaendelea karibu na mji ulioko mpakani wa Gamboru Ngala.
Mapigano hayo yanawadia saa chache tu baada ya wapiganaji hao wa Boko Haram kutoa kanda ya video ambayo walitangaza...
10 years ago
Mwananchi01 Nov
Karatasi 480 za kura zadaiwa kutelekezwa
Karatasi 480 za kura kwa ajili ya Rais na mbunge ambazo zimetumika zimedaiwa kutelekezwa karibu na Chuo cha Misitu (FITI) katika Kata ya Njoro Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania