Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Dakika 60 kwa Warioba siyo haki’

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Julius Mtatiro amepinga hatua ya uongozi wa Bunge hilo kumpa saa moja Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba kwa wajumbe leo

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge Maalumu la Katiba kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

 

10 years ago

Mwananchi

Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama

“Pale haki inaponyimwa, pale umaskini unapoimarishwa, siyo watu, wala mali watakuwa salama”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete hakuitendea haki tume ya Jaji Warioba

KILE kilichokuwa kikipiganiwa na Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, hadi kuvunja kanuni za Bunge hilo, kimedhihirika jana. Bado tunakumbuka jinsi Sitta alivyovunja kanuni kwa makusudi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nilimhudumia Tuppa kwa dakika 25’

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Marco Nega amesema walimpokea Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa akiwa mahututi na alifariki dakika 25 za matibabu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook yapotea kwa dakika 40 duniani

Mtandao wa kijamii wa facebook ulikuwa hauingiliki katika maeneo mengi duniani mapema leo kabla ya huduma zake kurudi.

 

10 years ago

BBCSwahili

'Moyo wangu ulisimama kwa dakika 45'

Moyo wa Ruby Graupera uliacha kudunda kwa dakika 45, madaktari walipokuwa wakimfanyia upasuaji waliwakusanya wanafamilia kwa ajili ya kusema buriani.

 

10 years ago

Mwananchi

Muhimbili kuzibua mishipa ya moyo kwa dakika 45

>Huenda Watanzania wanaougua magonjwa ya moyo wakaepuka kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya matibabu baada ya tiba ya kuzibua mishipa ya moyo iliyoziba kufanyika kwa mara ya kwanza nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani