DAKIKA 90 ZA DUNIA. Mauaji kwenye kambi ya jeshi Fort Hood
Jenerali Mark Milley, Kamanda wa Fort Hood akizungumza na waandishi wa habari.
Wiki iliyopita, nchi ya Marekani ilikumbwa na mauaji mengine yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi huko Fort Hood, Texas. Jumatano Aprili 2, askari mmoja wa Jeshi la nchi hiyo, Ivan Lopez ambaye inasemekana alikuwa na matatizo ya msongo wa mawazo, aliwafyatulia risasi na kuwaua wanajeshi wenzake 3, kujeruhi 16 kabla hajajigeuzia bastola na kujiua.
Mauaji haya, yanarejesha kumbukumbu ya mauaji makubwa kabisa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziDAKIKA 90 ZA DUNIA. Mauaji kwenye kambi ya jeshi Fort Hood MAREKANI
11 years ago
GPLPRESIDENT OBAMA ADDRESSES FORT HOOD MASS SHOOTING 4/2/2014
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Hii ndiyo Kambi ya Jeshi la Uingereza kwenye Vita vya Kwanza vya Dunia
Ufaransa
Mashimo ya kupenya ndani kwa ndani chini ya ardhi yamevumbuliwa kwenye machimbo ya chokaa Kaskazini mwa Ufarasa na yanasadikika kuwa wanajeshi wa Uingereza waliishi humo wakati wa mapigano ya Vita vya Kwanza vya Dunia (WW1) vilivyofanyika kati ya waka 1914 hadi 1918.
Ndani ya mashimo hayo kumekutwa miamba migumu ambayo imeandikwa majina ya wapiganaji wa WW1 waliokufa na kuzikwa mule. Pia kuna makanisa ambamo waliabudu, mabaki ya gari na baiskeli za zamani...
5 years ago
MichuziDEREK CHAUVIN-MIAKA 18 YA KAZI, MALALAMIKO 18 NA DAKIKA 8 ZA MAUAJI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
DEREK Chauvin ofisa wa polisi nchini Marekani amefahamika zaidi tangu Mei 25 mwaka huu na hiyo ni baada ya kutekeleza mauaji ya mmarekani mweusi George Floyd hadharani kwa kumkandamiza shingo kwa takribani dakika nane hadi umauti ulipomkuta.
Derek Chauvin alizaliwa Machi 19, 1976 huko Fayetteville na alihamia Minneapolis, Minnesota mwaka 2014 na alianza kufanya kazi akiwa ofisa wa polisi katika idara ya polisi Minneapolis mwaka 2001.
Kabla ya kufanya...
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Kambi ya jeshi la AU yavamiwa Somalia
10 years ago
Vijimambo[AUDIO] Dakika 90 za dunia..Uchaguzi Nigeria
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Kambi ya jeshi yavamiwa Kinshasa DRC
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Jeshi ladhibiti Kambi Burkina Faso
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Kambi ya jeshi yavamiwa Mombasa,Kenya