Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari ajitosa urais TUCTA

Dk Margareth Mtaki MWENYEKITI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), Tawi la Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk Margareth Mtaki ameeleza sababu zake za kujitosa kuwania Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

41 wataka urais TUCTA

SIKU chache baada ya mwandishi wa habari, Dismas Lyassa kutangaza nia ya kuwania urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wajumbe wengine 40 wameelezwa kujitokeza kuwania nafasi hiyo. Habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wagombea urais Tucta waonywa

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), wametakiwa kujitambua na kujitathmini pindi wanapotaka kugombea nafasi mbalimbali katika shirikisho hilo hususani urais. Rai hiyo ilitolewa na...

 

11 years ago

Habarileo

TUCTA yaonya wasaka urais

Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus MgayaKATIBU Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholaus Mgaya amewataka wanasiasa wanaotarajia kuwania urais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho, kuacha kuwatumia wafanyakazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandishi wa habari autaka urais Tucta

MWANDISHI wa Habari Dismas Lyassa ametangaza nia ya kuwania urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) utakaofanyika Agosti 4 na 5 mwaka huu. Lyassa anatangaza uamuzi huo baada ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Dismas Lyassa arejesha fomu ya kugombea Urais TUCTA

20140704_115635

Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. (Picha na Khamis Tembo).

20140704_115741

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ajitosa urais 2015

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na wananchi wake katika uwanja wa Ilongero Singida Vijijini, baada ya kumaliza kuhutubia jana. (Na Mpigapicha Wetu).MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya jana Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kutangaza rasmi nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Monica Mbega ajitosa urais

Dodoma. Makada wa CCM, wameendelea kupigana vikumbo katika ofisi za makao makuu ya chama hicho mjini hapa kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea urais. Jana ilikuwa zamu ya Balozi Augustine Mahiga na Monica Mbega aliyejitosa kimya kimya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani