Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari kortini kwa kuwadhalilisha watoto

Daktari huyo wa watoto Uingereza amefunguliwa mashitaka kwa kosa la kuwadhalilisha watoto wadogo kati ya umri wa miaka 11 na 15.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAMBURUZA KORTINI DAKTARI KWA TUHUMA YA RUSHWA

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda, akizungumza na waandishi wa habari.
Na Godwin  Myovela,  Singida.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida imemburuza mahakamani Dkt. Abdul Sewando wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Mandewa) akituhumiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana kwenye ofisi za PCCB, Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

52 kortini kwa kuwazuia watoto kuingia sekondari

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Fatuma KimarioWAZAZI 52 katika Wilaya ya Kisarawe wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo kutokana na kuwazuia watoto wao kuendelea na elimu ya kidato cha kwanza mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Daktari aliyeiba watoto ahukumiwa China

Aliwaiba watoto saba kutoka hospitali aliyokuwa akihudumu na kuwauza watoto hao kwa wanaofanya biashara haramu ya kuuza binadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari wa watoto pacha kwenda Mbeya

Daktari aliyewapokea watoto pacha waliokuwa wameungana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuwapeleka India kufanyiwa upasuaji, Zaituni Bokhary anatarajia kuwasili nchini leo akitokea masomoni Misri na kwenda Mbeya kuwajulia hali watoto hao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto

Abigail Chamungwana anasoma masomo ya sayansi yaani Fizikia, Kemia, Baiolojia na Hesabu kwa sababu mbali na kuwa mwanamuziki anataka kuwa Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa watoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari afungwa kwa ukeketaji Misri

Katika kesi cha kipekee Misri, daktari mmoja ametiwa mbaroni kwa kosa la kumkeketa msichana mwenye umri wa miaka kumi na tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari: Mgonjwa hakufa kwa ebola

Kaimu mganga mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Yusuph Bwire amesema matokeo ya uchunguzi wa sampuli yaliyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yanaonyesha kwamba Salome Richard hakufariki dunia kwa ugonjwa wa ebola bali kwa tatizo la ini.

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari bingwa afa kwa dengue

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akili nchini, Gilbert Buberwa amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa dengue.

 

9 years ago

Mtanzania

Kortini kwa kuingia nyumbani kwa Mzee Mwinyi

mwinyi1bcNA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM

MKAZI wa Ilala Mtaa wa Lindi, Hafidhi Ally (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kuvamia kisha kuingia nyumbani kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mbele ya Hakimu Ester Kihiyo, karani wa mahakama hiyo, Mosses Mchome, alidai kwamba mtuhumiwa alifanya kosa hilo Desemba 10, mwaka huu saa 7:30 usiku nyumbani kwa Mzee Mwinyi,  Mikocheni B, Dar es Salaam.

Karani Mchome aliiambia mahakama hiyo kwamba, Hafidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani