Dalali aichukua Simba
![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE1CZHtYENuN4T1rXfGHf3dIyep9SWK*AWVpH8tkRSNrz1a1Uu1LfB0*Nx7lR4TdLT6rWlJ5D*7QMitk4eaKJZ2a/DALALI.jpg)
Mwaenyekiti wa zamani wa Simba,Hassan Dalali. Na Nicodemus Jonas HATIMAYE uongozi wa zamani wa Simba uliokuwa chini ya Hassan Dalali na Mwina Kaduguda, umetaka kuichukua timu hiyo kabla ya kuvaana na Yanga. Simba na Yanga zinatarajiwa kuvaana Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hizo kukutana msimu huu. Habari za ndani ambazo zimelifikia Championi Jumatano zinasema kuwa,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m5DCNqwNmKYFnYnEf73o0sX5hWmapActnvfNPMb2zwB3BVc*Y6DgyO9OAsUemqKqiVAdrxDuwt-xvOUKtCN8uko9UAN6VrkQ/dalali.jpg?width=650)
Dalali afunguka kuhusu kuwa mwenyekiti Simba
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fmjaW8lXnxY/Uw2o58sGr4I/AAAAAAAFPqM/T1yLUXNmy44/s72-c/IMG-20140225-WA000.jpg)
9 years ago
Bongo507 Sep
Music: Bilal Ft At — Dalali
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Fid Q: Mimi ni dalali wa madini
10 years ago
Mtanzania15 May
Mali za Hospitali ya AMI zakamatwa na dalali
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
DALALI wa Mahakama, MEM Auctioneers and General Brokers Ltd, jana alikamata na kuondoa mali za Hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Centre iliyoko Msasani Dar es Salaam, kutokana na kudaiwa kodi ya pango ya zaidi ya Sh bilioni tatu.
Akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo mwakilishi wa kampuni hiyo ya udalali, Elieza Mbwambo, alisema kiasi hicho ni kodi ya pango ya zaidi ya miezi 26 kinachodaiwa na mmiliki wa jengo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLPtQs58woq7cHEoNbtjdmwp0IFSlM4sW5oJPWQioYatmn2FWC0I4k4bMBBKxkrtc44p2jOWOeJj8meSbJuZm6g/mpira.gif?width=650)
Mpira Pesa wampa urais Dalali
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Kura tumpe mgombea, dalali, chama au ilani?
10 years ago
GPL14 Jul
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Mwesigwa aahidi uwazi, Dalali, Mtawala, Dauda waula TFF