Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpira Pesa wampa urais Dalali

Kundi la Mpira Pesa la Simba. Na Khadija Mngwai
WANACHAMA wa Kundi la Mpira Pesa la Simba, wamefunguka kuwa, anayefaa kuwa rais wa klabu hiyo kwa miaka minne ijayo ni Hassan Dalali kwa kuwa ni mtu mwenye hekima na busara.
Dalali aliwahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo kabla ya Ismail Aden Rage lakini alipigwa zengwe katika uchaguzi uliopita kutokana na kukosa cheti cha kidato cha nne na sasa yupo ‘skuli’ anaendelea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni vita ya Taleban, Mpira Pesa

>Vita kubwa imeibuka katika harakati za uchaguzi wa viongozi wa Simba, huku matawi ya Taleban na Mpira Pesa yakianza kuonyeshana ubavu kwa kunadi wagombea wanaowania urais, Michael Wambura na Evans Aveva.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpira Pesa wanena sakata la Rage

BAADA ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kulipeleka Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, sakata la Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage kugoma kuitisha mkutano,...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

10 years ago

Bongo5

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa […]

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Music: Bilal Ft At — Dalali

Wimbo mya wa msanii Bilal amemshirikisha AT unaitwa “Dalali” Producer Mo Fire Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

Dalali aichukua Simba

Mwaenyekiti wa zamani wa Simba,Hassan Dalali. Na Nicodemus Jonas
HATIMAYE uongozi wa zamani wa Simba uliokuwa chini ya Hassan Dalali na Mwina Kaduguda, umetaka kuichukua timu hiyo kabla ya kuvaana na Yanga. Simba na Yanga zinatarajiwa kuvaana Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hizo kukutana msimu huu. Habari za ndani ambazo zimelifikia Championi Jumatano zinasema kuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani