Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwesigwa aahidi uwazi, Dalali, Mtawala, Dauda waula TFF

Katibu mkuu mpya wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa ametambulishwa  rasmi jana kuchukua mikoba ya Angetile Osiah na kuahidi kufanya kazi kwa uwazi na ushirikiano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwesigwa, Mtawala ‘wafunguka’ ajira TFF

KATIBU Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine na Mkurugenzi wa Vyama Wanachama na Masuala ya Kisheria, Evodius Mtawala, wameahidi uwajibikaji na umakini katika utekelezaji wa majukumu...

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa zamkimbiza Mtawala TFF

Mkurugenzi wa Uanachama na Sheria wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Evodius Mtawala amejiuzulu nafasi hiyo, huku siasa zikitajwa kuwa ndiyo chanzo cha mtendaji huyo kuachia ngazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimanjaro: Tuna imani na uwazi TFF

WADHAMINI wa timu ya taifa, Kilimanjaro Premium Lager, wameonyesha kuridhishwa na uwazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), katika kuendesha masuala ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’. Hayo yamesemwa na...

 

10 years ago

GPL

MR. UWAZI AGAWA SUKARI KWA WASOMAJI WA ‘UWAZI MIZENGWE’ DAR

Msomaji wa Uwazi Mizengwe akipokea zawadi ya mfuko wa sukari eneo la stendi ya daladala ya Makumbusho, Kijitonyama. Mteja wa Uwazi Mizengwe (kushoto mwenye mkoba) kabla ya kununua gazeti katika meza ya muuza magazeti eneo la Mwenge.…

 

11 years ago

Michuzi

Shaffih Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA

Pichani ni Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar),ambaye ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za MichezoTASWA.  Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha  tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtawala aachia ngazi Simba

BAADA ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala kuikwaa nafasi ya Mkurugenzi wa Uanachama na Sheria ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ameachia ngazi Msimbazi. Mtawala ambaye ni mwanasheria...

 

9 years ago

Michuzi

MWESIGWA KUONGOZANA NA SAMATTA NIGERIA

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika  Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani