Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAMPO LAHATARISHA AFYA ZA WANAFUNZI KASHAI, BUKOBA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kashai, mjini Bukoba,  wakiendelea kuchota maji kwenye mto Kashai karibu na mtaro wa maji machafu. Shughuli ya kuchota maji ikiendelea kama kawaida siku zote. Pamoja na hatari ya maji hayo wanafunzi bado wanaendelea kuyachota maji hayo ambayo huenda kuyatumia katika shughuli mbalimbali shuleni hapo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014 MJINI BUKOBA LEO - KASHAI 3 vs BAKOBA 0,

Na Faustine Ruta, Bukoba Michuano ya Kagasheki Cup 2014 imeendelea tena leo kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kwa siku ya pili na kushuhudia mahasimu wawili Mmoja akimliza mwenzake bao 3-0. Mtanange wa leo hii Jumapili ulizikutanisha timu mbili matata kwenye hii ligi za Kashai na Bakoba FC na kushuhudia Timu ya Bakoba ikifungwa bao 3-0 bao zilizofungwa kipindi cha kwanza mbili na kipindi cha pili moja. Timu ya Kashai FC walianza kuifunga timu ya Bakoba bao la kwanza katika dakika ya 8...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI DARASA LA SABA SHULE YA ADOLPH KOPING BUKOBA WATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA.

Wanafunzi wa Darasa la Saba (Adolph Kolping English Medium Primary School) wametembelea kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Bukoba na kujionea utengenezaji wa Sukari ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao. Kiwanda cha Sukari cha Kagera tayari kilishaanza kuzalisha ziada ya sukari inayohitajika katika soko la sukari Nchini hali inayopelekea kuweza kupunguza tatizo la upatikanaji wa sukari Tanzania na Nchi za jirani zinazotumia sukari kutoka kiwandani hapo.Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera kiko...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wanafunzi 270 kupimwa afya

ZAIDI ya wanafunzi 270 wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni, jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kupima afya zao na kupatiwa matibabu.

Akizungumza na gazeti hili jana, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kuhudumia Viziwi Tanzania (TSD), Yasin Mawe, alisema wanafunzi hao watapimwa damu, mkojo, uzito na urefu.

"Tumeamua kuwapima afya ili kupata kumbukumbu sahihi na kufahamu maradhi yanayowasumbua ili kuwapatia dawa," alisema.

Alisema TSD kwa kushirikiana na wahisani...

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu ya afya ya uzazi inaepusha wanafunzi dhidi ya tamaa mbaya

>Ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana husababisha mimba katika umri mdogo.Hii inatokana na ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi unatokana na imani potofu miongoni mwa jamii kwamba, kuwapatia elimu hiyo vijana ni sawa na kumruhusu kujihusisha na vitendo vya ngono.

 

11 years ago

Michuzi

Wanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Karen Lwakatare. Meneja wa Mamlaka ya Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) kanda ya Pwani Jerome Materu akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala...

 

5 years ago

CCM Blog

MKUTANO WA CHAMA CHA WANAFUNZI KOZI YA MAABARA ZA AFYA WARINDIMA


Msajili wa Bodi ya Maabara Binafsi za Afya akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam. Kwa lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa Taaluma ya Maabara kuwa kitu kimoja na kuzungumzia changamoto na  kuangalia wapi wanapo elekea.
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Sayansi ya MaabaraTanzania (MeLSAT). Yahaya Mnung'a akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya...

 

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADAKTARI WANAFUNZI TANZANIA CHATOA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dokta Sira Ubwa Mamboya akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi katika uzinduzi wa kampeni za kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu zitakazofanyika Mikoa yote ya Zanzibar.
 Mratibu wa mtadi wa kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu Mr. Siraji M. Mtulia akitoa maelezo mafupi ya mradi huo utakaoanza kutekelezwa leo na Chama cha wanafunzi Madaktari Tanzania wakishikiana na Wizara ya Afya Zanzibar.   Mkuu wa CHUO cha (IMTU)...

 

10 years ago

GPL

UKOSEFU WA VYOO SHULENI ILEMELA HATARI KWA AFYA ZA WANAFUNZI NA WALIMU

Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo. Ilemela ni moja kati ya majimbo saba yanayounda Mkoa wa Mwanza ambalo linaongozwa na Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA). Wiki iliyopita, Uwazi lilitembelea Kata za Nyakato, Mecco, Buzuruga, Nyasaka, Ilemela, Kahama, Kiseke, Sangabuye, Kayenze, Bugongwa, Shibuda, Pasiansi, Kawekamo, Kitangiri, Kirumba,...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI NA BARABARANI‏


Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya usalama na afya mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na  Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Oyster Bay jijini Dar es salaam. Kushoto ni Meneja wa OSHA kanda ya Pwani Jerome Materu na Mkuu wa Idara ya Usalama,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani