Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar es Salaam na mishemishe zake, Kariakoo palikuwa hivi leo… (+Pichaz)

Ukiitaja Kariakoo moja kwa moja akili na mawazo ya watu wengi huenda kwenye zile mishemishe za pale katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Jumatano ya January 6 2016 ndio inaishaisha hivyo, sio mbaya ukaona baadhi ya mitaa ya Kariakoo ilivyokuwa busy siku ya leo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]

The post Dar es Salaam na mishemishe zake, Kariakoo palikuwa hivi leo… (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani

Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa kubwa. Mtu wangu wa nguvu baada ya mvua kukata ilibidi nitembelee mitaa tofauti tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam ili kuona hali ya maeneo […]

The post Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

H.Baba katoa tuzo zake leo…mpaka wapenzi wasio na majungu wamepata (Picha)

Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi  leo Dec 20 Jumapili wamefunga ukame wa tuzo kwa kutoa tuzo zao baada ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na Filamu. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika tukio hilo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post H.Baba katoa tuzo zake leo…mpaka wapenzi wasio na majungu wamepata (Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorianalifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia yaMarehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorianalifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana JumapiliDesemba 29, 2014

 

9 years ago

Vijimambo

MSIBA WA NDUGU YETU MAREHEM BI.KHADIJA ISMAIL KUBE MTAA WA AGREY ,KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM

Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Bi. Khadija Ismail Kube maziko yatafanyika siku ya Ijumaa 21 -08-2015,saa 4.00 asubuhi nyumbani kwao mtaa Aggrey. Kariakoo msikiti wa Qiblatein mwenyezimungu amlaze mahala pema peponi.Taarifa zimetolewa na Masjid Qubah,Segerea mwisho,Dar.
Innalilahi Wainna Iilahi Rajiunn

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: majambazi wawili wauwawa katika jaribio la kupora pesa kariakoo, Dar es salaam usiku huu

 Askari polisi wakiwa wamepakia kwenye gari miili ya majambazi wawili waliouwawa baada ya mapambano ya risasi baada ya kutaka kupora pesa katika duka la Mpesa/Tigo Pesa/Airtel Money mtaa wa Mkunguni jijini Dar es salaam usiku huu. Chini ni umati uliokusanyika sehemu ya tukuio.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika leo mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam

unnamed (7)
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo,  jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan siku ya leo Desemba 30. 

Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii,  kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

 

11 years ago

GPL

HIVI NDIVYO MVUA ILIVYOLIVURUGA JIJI LA DAR ES SALAAM!

(PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani