Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Darasa awapa tano mashabiki

MSANII wa muziki wa Hip Hop nchini, Sharifu Thabit ‘Darasa’, amewashukuru mashabiki wa muziki huo, kwa kumpa sapoti katika muziki wake tangu alipoingia katika tasnia hiyo. Akizungumza Tanzania Daima jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kocha Faru Jeuri awapa tano mashabiki

BAADA ya timu ya Faru Jeuri kutwaa ubingwa wa Ndondo Cup 2015 kwa kuifunga Kauzu FC kwa penalti 4-3 baada ya pambano kumalizika kwa sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90, kocha wa Faru Jeuri, Spear Mbwembwe amewashukuru wachezaji na mashabiki wote.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Lukuvi awapa darasa maofisa ardhi


NA DOTTO MADUHU, MWANZA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amewaagiza maofisa ardhi na wazee wa mabaraza ya ardhi, kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi.

Lukuvi alisema hayo jana katika ziara yake ya siku mbili mkoani hapa, na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Aliwaasa maofisa ardhi kuhudumia wananchi kwa haki na uzalendo bila kujali uwezo wao wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mgimwa awapa darasa waongoza watalii


NA JAMES LANKA, MOSHI
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mahmoud Mgimwa, amewataka waongoza watalii kuhakikisha wanapewa  mikataba halali ya kazi na wamiliki wa kampuni wanayofanyakazi ili kuepuka kunyonywa haki zao. 
Mgimwa alitoa rai katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro (KGA), kilichofanyika juzi mjini hapa.
Mwenyekiti wa chama hicho, Respicius Baitwa, alimueleza naibu waziri kuwa,  pamoja na ugumu wa kazi yao, baadhi ya wamiliki wa kampuni za utalii...

 

11 years ago

Dewji Blog

Magufuli awapa tano makandarasi wazawa

DSC00056

Waziri wa Ujenzi, Dk.John Pombe Magufuli, akifuatilia kwa makini taarifa iliyokuwa ikitolewa na kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida Mhandisi, Leonard Kapongo kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara ya Manyoni mjini yenye urefu wa kilometa mbili kwa kiwango cha lami.Wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Manyoni na anayefuatia ni mkuu wa mkoa wa Singida .Dk.Parseko Kone.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

Serikali  imewaagiza Mameneja wa TANROADS na Wakurugenzi watendaji wa...

 

9 years ago

Habarileo

Malinzi awapa tano Taifa Stars

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Watanzania wote kwa ushindi waliopata dhidi ya Malawi juzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanafunzi wa darasa la tano atoweka nyumbani

MTOTO, Valentina Ngoya (14), Mkazi wa Songambele, Mererani mkoani Manyara anatafutwa na wazazi wake baada ya kuondoka nyumbani kwao tangu Novemba 3 mwaka huu akienda shule. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndauka Atupiwa Lawama na Mashabiki, Awapa Pole!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Nduka ametupiwa lawama na baadhi ya mashabuki  wake kwa kuweka picha mtandaoni akiwa amalazwa hospital na wao kudhani kweli kumbe yupo ‘ON SET’ ya movie mpya.

Hapo jana Rose ndauka alibandika picha hiyo hapo juu akiwa amelala kwenye kitanda ya hospital na kuandika “AAR Hospital” kitendo ambacho kiliwafanya mashabiki weke wengi kudhani kuwa Rose anamwa na kuanza kumpa pole na kumuombea dua apone haraka.

Baada ya masaa kadhaa kupita, Rose akaweka tena picha...

 

9 years ago

GPL

JOSE CHAMELEONE AWAPA SURPRISE YA NGUVU MASHABIKI WA SKYLIGHT

Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto ni Suzy pamoja na Kasongo Junior (kulia).… ...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI VIDEO YA ‘HIP HOP DARASA’ YA FID Q WAVUTIA MASHABIKI

Mashabiki na wadau wa Ujamaa Hip Hop Darasa wakikunja ngumi kuonyesha ishara ya kusapoti video hiyo.     Logo ya Ujamaa Hip Hop Darasa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani