Lukuvi awapa darasa maofisa ardhi

NA DOTTO MADUHU, MWANZA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amewaagiza maofisa ardhi na wazee wa mabaraza ya ardhi, kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi.
Lukuvi alisema hayo jana katika ziara yake ya siku mbili mkoani hapa, na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Aliwaasa maofisa ardhi kuhudumia wananchi kwa haki na uzalendo bila kujali uwezo wao wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Aug
Lukuvi awakabidhi kwa Takukuru maofisa ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewakabidhi mikononi mwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa(Takukuru) maofisa wawili wa Idara ya Ardhi wa halmashauri ya jiji la Mbeya, na mmoja kutoka ofisi ya wizara yake wanaokabiliwa na tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume cha sheria.
5 years ago
CCM Blog
LUKUVI AWATAKA WATENDAJI IDARA ZA ARDHI KUPIMIA WANANCHI ARDHI

Na Ahmed Mahmoud Arusha
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi amewataka maafisa ardhi kuwapa hati Mara moja watu wote waliopimiwa viwanja ili idadi iliyo kwenye michoro iwe na hati kwa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
5 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WASIOTAKA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI
5 years ago
CCM BlogWAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WALIOTELEKEZA HATI ZAO ZA ARDHI AMBAZO ZIPO TAYARI
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Ardhi nchini kuhakikisha wanawafuatilia wamiliki wa ardhi ambao hati zao zimekamilika lakini...
10 years ago
Habarileo08 Jun
RC Ndikilo awapa somo maofisa uandikishaji
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, amewataka maofisa uandikishaji na uchaguzi wawe makini ili wasije wakaandikisha watu wasio na sifa ili uandikishaji huo usiharibike.
11 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Darasa awapa tano mashabiki
MSANII wa muziki wa Hip Hop nchini, Sharifu Thabit ‘Darasa’, amewashukuru mashabiki wa muziki huo, kwa kumpa sapoti katika muziki wake tangu alipoingia katika tasnia hiyo. Akizungumza Tanzania Daima jijini...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Mgimwa awapa darasa waongoza watalii
NA JAMES LANKA, MOSHI
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mahmoud Mgimwa, amewataka waongoza watalii kuhakikisha wanapewa mikataba halali ya kazi na wamiliki wa kampuni wanayofanyakazi ili kuepuka kunyonywa haki zao.
Mgimwa alitoa rai katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro (KGA), kilichofanyika juzi mjini hapa.
Mwenyekiti wa chama hicho, Respicius Baitwa, alimueleza naibu waziri kuwa, pamoja na ugumu wa kazi yao, baadhi ya wamiliki wa kampuni za utalii...
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Makonda awaweka rumande maofisa ardhi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, jana aliwaweka ndani maofisa ardhi zaidi ya 10 kwa saa sita.
Imeelezwa kuwa Makonda alifanya hivyo kwa kile kilichoelezwa kukaidi agizo lake la kuwataka wawahi katika eneo la mkutano kusikiliza migogoro ya ardhi.
Tukio hilo lilitokea katika eneo la Nakasangawe Kata ya Wazo, Dar es Salaam, baada ya maofisa hao kuchelewa kufika tofauti na walivyotakiwa.
Makonda alisema walikubalina kuwahi katika kikao cha...