Makonda awaweka rumande maofisa ardhi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, jana aliwaweka ndani maofisa ardhi zaidi ya 10 kwa saa sita.
Imeelezwa kuwa Makonda alifanya hivyo kwa kile kilichoelezwa kukaidi agizo lake la kuwataka wawahi katika eneo la mkutano kusikiliza migogoro ya ardhi.
Tukio hilo lilitokea katika eneo la Nakasangawe Kata ya Wazo, Dar es Salaam, baada ya maofisa hao kuchelewa kufika tofauti na walivyotakiwa.
Makonda alisema walikubalina kuwahi katika kikao cha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Makonda awatia mbaroni maofisa 20 ardhi
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Mwananchi30 Oct
Mkwasa awaweka rumande watendaji
5 years ago
CCM Blog
CAG AWAWEKA MATATANI MAOFISA HALMASHAURI

Sagini alisema katika hoja hizo, wapo watumishi wa halmashuari hiyo ambao walishindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo, ambao ametaka watafutwe na wachukuliwe hatua kila mmoja kulingana na hoja yake.
Alitoa maagizo hayo jana wakati wa kikao...
9 years ago
StarTV26 Nov
Maafisa ardhi Kinondoni wawekwa rumande kwa saa 6
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameagiza kuwekwa ndani kwa Maofisa Ardhi wote wa Wilaya ya Kinondoni kwa saa sita kutokana na kuchelewa kufika katika eneo la Sangwe Kata ya Wazo walipokuwa wamekubaliana kukutana kwa ajili kutafuta suluhisho la migogoro ardhi katika eneo hilo.
Kwa Mujibu wa Makonda, Kitendo cha Maofisa ardhi hao kuchelewa katika eneo la tukio ni utovu wa Nidhamu na ukiukaji wa maadili ya kazi ambayo yanazidi kuwafanya wananchi kuishi kwa shida kutokana na...
10 years ago
Uhuru Newspaper
Lukuvi awapa darasa maofisa ardhi
NA DOTTO MADUHU, MWANZA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amewaagiza maofisa ardhi na wazee wa mabaraza ya ardhi, kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi.

Lukuvi alisema hayo jana katika ziara yake ya siku mbili mkoani hapa, na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Aliwaasa maofisa ardhi kuhudumia wananchi kwa haki na uzalendo bila kujali uwezo wao wa...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Lukuvi awakabidhi kwa Takukuru maofisa ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewakabidhi mikononi mwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa(Takukuru) maofisa wawili wa Idara ya Ardhi wa halmashauri ya jiji la Mbeya, na mmoja kutoka ofisi ya wizara yake wanaokabiliwa na tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume cha sheria.
10 years ago
MichuziMAKONDA AKUTANA NA WANANCHI WA KAWE MZIMUNI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI
10 years ago
MichuziPAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...