Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwasa awaweka rumande watendaji

Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa juzi aliwaweka rumande watendaji wa kata mbili baada ya kubainika kuwa wametafuna fedha za michango ya ujenzi wa maabara za sekondari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Makonda awaweka rumande maofisa ardhi

MAKONDANa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, jana aliwaweka ndani maofisa ardhi zaidi ya 10 kwa saa sita.

Imeelezwa kuwa Makonda alifanya hivyo  kwa kile kilichoelezwa kukaidi agizo lake la kuwataka wawahi katika eneo la mkutano   kusikiliza migogoro ya ardhi.

Tukio hilo lilitokea katika eneo la Nakasangawe Kata ya Wazo, Dar es Salaam, baada ya  maofisa hao kuchelewa kufika tofauti na walivyotakiwa.

Makonda alisema   walikubalina kuwahi katika kikao cha...

 

5 years ago

CCM Blog

CAG AWAWEKA MATATANI MAOFISA HALMASHAURI

  KATIBU Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini, ameutaka uongozi wa Halmashuari ya Wilaya ya Itilima mkoani humo kuwachukulia hatua za kisheria watu wote waliosababisha uwepo wa hoja 36 katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Sagini alisema katika hoja hizo, wapo watumishi wa halmashuari hiyo ambao walishindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo, ambao ametaka watafutwe na wachukuliwe hatua kila mmoja kulingana na hoja yake.

Alitoa maagizo hayo jana wakati wa kikao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe awaweka vijana mguu sawa

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema hawatokubali kukaa kimya na kuona Bunge Maalum la Katiba Mpya likiwa linaendelea hadi Oktoba 4. Mbowe alisema, endapo watapuuzwa...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AWAWEKA UKAWA NJIA PANDA!

Ojuku Abraham SINTOFAHAMU! Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vinne vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD sasa upo njia panda kuhusu ujio wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anayesemwa kutaka kutimka kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). ... Soma zaidi===>http://bit.ly/1JeOk4n

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha mpya Simba awaweka kiporo majeruhi

Baada ya kuwapinga panga wachezaji tisa, Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amewaweka kiporo wachezaji wanne ambao ni majeruhi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu awaweka matatani viongozi wa mkoa wa Kigoma

IMGS6958

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na watumishi wa mkoa wa Kigoma  kwenye ukumbi wa NSSF katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo Desemba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, mkoani Kigoma imewaacha matatani baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kubaini uuzwaji wa majengo ya halmashauri kinyume na...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli awaweka roho juu vigogo mashirika ya umma

Siku moja baada ya Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwasimamisha watendaji wa Bandari na TRA, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amemtaka kila mtendaji mkuu au ofisa masuhuli wa Serikali kujiuliza ni kwa kiasi gani anatekeleza kwa vitendo dhamira ya Rais ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mdee apelekwa Rumande

baw

Mwenyekiti wa Baraza la wanawake Chadema Halima mdee akiongoza maandamano kwenda Ikulu mapema mwishoni mwa juma. (Picha na Maktaba).

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kawe, na wenzake jana  walirejeshwa rumande baada ya wakili kushindwa kumaliza kuhakiki fomu za dhamana zao.

Aidha, washitakiwa hao waliondolewa kwenye ardhi ya Mahakama ya Kisutu wakiwa chini ya ulinzi mkali wa zaidi ya polisi 30 na msafara wa magari manne likiwemo la maji ya kuwasha.

Halima Mdee (35), alifikishwa katika Mahakama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge wa upinzani rumande TZ

Mbunge mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani