Mbunge wa upinzani rumande TZ
Mbunge mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Mdee apelekwa Rumande
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake Chadema Halima mdee akiongoza maandamano kwenda Ikulu mapema mwishoni mwa juma. (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe, na wenzake jana walirejeshwa rumande baada ya wakili kushindwa kumaliza kuhakiki fomu za dhamana zao.
Aidha, washitakiwa hao waliondolewa kwenye ardhi ya Mahakama ya Kisutu wakiwa chini ya ulinzi mkali wa zaidi ya polisi 30 na msafara wa magari manne likiwemo la maji ya kuwasha.
Halima Mdee (35), alifikishwa katika Mahakama...
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Watuhumiwa wa makontena 40 wawekwa rumande
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewakamata watumishi 40 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari (TPA) wanaotuhumiwa kula njama za kuikosesha Serikali mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jeshi hilo linawashikilia watumishi 26 wa TRA na watatu wa Bandari kavu (ICD) ya Azam kwa kuhusika na upotevu wa makontena 329.
Aliwataja watumishi...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Mkwasa awaweka rumande watendaji
11 years ago
Habarileo09 Jul
Madereva 180 bodaboda rumande
KUNA vijana waendesha bodaboda 180 waliokamatwa jijini Dar es Salaam na sasa wapo mahabusu, imedaiwa. Wengine 400 wametozwa faini na wengine wamehukumiwa kwa kosa la kuingiza bodaboda katikati ya Jiji.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mshukiwa aliyejisalimisha Kenya rumande
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Mwenyekiti wa kitongoji aswekwa rumande
MWENYEKITI wa Kijiji cha Chonde, wilayani Bahi, Dodoma, Daud Nhiti, amelazimika kuagiza uongozi wa kijiji hicho kumweka mahabusu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ng’ambo, Zebedayo Hemezi kwa tuhuma za kutohudhuria katika...
11 years ago
Mwananchi01 May
Sheikh Ponda kusota rumande
11 years ago
Habarileo06 Aug
Mansour kuendelea kusota rumande
ALIYEKUWA Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, Mansour Yussuf Himid, amefikishwa mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, akikabiliwa na makosa matatu na kisha kurejeshwa rumande.