Makonda awatia mbaroni maofisa 20 ardhi
Kasi ya uimarishaji utumishi wa umma imewakumba maofisa ardhi 20 wa Manispaa ya Kinondoni baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Paul Makonda kuwaweka rumande kwa saa sita kwa kuchelewa kuwasili katika ziara ya kutatua migogoro ya ardhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Makonda awaweka rumande maofisa ardhi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, jana aliwaweka ndani maofisa ardhi zaidi ya 10 kwa saa sita.
Imeelezwa kuwa Makonda alifanya hivyo kwa kile kilichoelezwa kukaidi agizo lake la kuwataka wawahi katika eneo la mkutano kusikiliza migogoro ya ardhi.
Tukio hilo lilitokea katika eneo la Nakasangawe Kata ya Wazo, Dar es Salaam, baada ya maofisa hao kuchelewa kufika tofauti na walivyotakiwa.
Makonda alisema walikubalina kuwahi katika kikao cha...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Makonda awatia ganzi viongozi UVCCM
HATIMA ya Paul Makonda kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, itajulikana baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Maofisa 12 wa TRA mbaroni kwa upotevu wa makontena
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-xKNkCdhR-Dg/VQBdLKJ9JnI/AAAAAAAAB7c/gDCnhnICgYc/s72-c/William%2BLukuvi.jpg)
Lukuvi awapa darasa maofisa ardhi
NA DOTTO MADUHU, MWANZA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, amewaagiza maofisa ardhi na wazee wa mabaraza ya ardhi, kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-xKNkCdhR-Dg/VQBdLKJ9JnI/AAAAAAAAB7c/gDCnhnICgYc/s1600/William%2BLukuvi.jpg)
Lukuvi alisema hayo jana katika ziara yake ya siku mbili mkoani hapa, na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Aliwaasa maofisa ardhi kuhudumia wananchi kwa haki na uzalendo bila kujali uwezo wao wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s72-c/pccb.jpg)
TAKUKURU MANYARA YAWATIA MBARONI MAOFISA WAWILI WA TRA
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu (Pichani) akizungumza mjini Babati alisema maofisa hao TRA wanadaiwa kufanya kosa hilo kinyume cha kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007.
![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s640/pccb.jpg)
10 years ago
Habarileo07 Aug
Lukuvi awakabidhi kwa Takukuru maofisa ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewakabidhi mikononi mwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa(Takukuru) maofisa wawili wa Idara ya Ardhi wa halmashauri ya jiji la Mbeya, na mmoja kutoka ofisi ya wizara yake wanaokabiliwa na tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume cha sheria.
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Mbunge wa Ubungo Mbaroni kwa Amri ya DC. Makonda
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), akipanda kwenye apelekwe kituoni.
Wananchi wakitaharuki.
Mbunge Saed Kubenea mwenye (shati jeusi) wakitofautina na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC. Paul Makonda (mwenye fulana ya mistari).
Hali ya sintofahamu.
Kubenea akizungumza jambo.
MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) jana alikamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Tukio hilo lilitokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-93KNme6tQ2I/Vm9iVej5hRI/AAAAAAAAXcI/QvnNdhy3d3M/s72-c/Kubenea-4-620x308.jpg)
Mbunge wa Ubungo mbaroni kwa amri ya Makonda
10 years ago
MichuziPAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...