DARASA: NARUDI DARASANI
Staa Shariff Sadick Ramadhan ‘Darasa’ (kulia) wakati akihojiwa na Mic Queen, Pamela Daffa ndani ya Global TV. Stori: ANDREW CARLOS STAA wa Sikati Tamaa, Shariff Sadick Ramadhan ‘Darasa’ yupo mbioni kurudi darasani baada ya kufanya muziki muda mrefu. Darasa katika pozi. Akifunguka hivi juzikati katika mahojiano na Kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
10 years ago
Mtanzania04 May
January: Nikishindwa urais CCM narudi jimboni
Na Mwandishi Wetu, Lushoto
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema kuwa akishindwa katika mchakato wa kura za maoni za kusaka urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), atarudi jimboni kuendelea kuwatumikia wapiga kura wake.
Kutokana na hali hiyo January ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, amewataka wananchi wake kuwapuuza watu wanaopita na kudai kuwa wanataka ubunge kwa kuwa yeye anatajwa katika kinyang’anyoro cha urais ndani ya CCM.
Kauli hiyo aliitoa juzi...
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Irene Paul na Mzee Chilo ndani ya uzinduzi wa “Narudi Bongo”
Mwigizaji Mkuu wa Filamu hiyo Ernest Rwandalla akiwa na wadau waliojitokeza kwenye uzinduzi.
Akiwa na baadhi ya wasanii waliojitokeza.
Mzee Chilo akiwa na mwigizaji Mkuu wa filamu hiyo.
Irene Paul nae alikuwapo pia kushuhudia uzinduzi huo.
Ilikuwa ni siku ya furaha.
Akihojiwa na waandishi wa habari.
Na Mwandishi Wetu
FILAMU Going Bongo imezinduliwa rasmi na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa filamu nchini, kwenye hafla iliyofanyika eneo la Bahari Zoo.
Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Bongo529 Jan
Jay Moe: Narudi kitofauti, msishangae mkinisikia kwenye beat kama za akina ASAP Rocky au French Montana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq*48KI5tyzsSaWoFy0IBpgwwveuFlhvQllWGmAMTskix5C-v-9CPpPKAwfRjyvurdC0ZvSo9huhiRFje93tMCc*/denti.jpg)
DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
Viongozi wa mitaa kuingizwa darasani
NA MARIA AROPE, DODOMA
KUFUATIA viongozi wa ngazi ya chini kutopewa semina elekezi na miongozo kabla ya kuanza, kazi shirika lisilo la serikali mkoani Dodoma la NGONEDO linatarajia kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za vijiji 1,580.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mratibu wa shirika hilo, Edward Mbogo, alisema viongozi hao watatoka katika vijiji 42 ambapo wananchi 350,000 watanufaika.
Alisema awamu ya kwanza ya mradi huo itaanza kutekelezwa katika wilaya za Kongwa na...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Radi yaua wanafunzi sita darasani
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
WATU nane wakiwamo wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi.
Pamoja na vifo hivyo, wanafunzi wengine 15 wa shule hiyo walijeruhiwa vibaya.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni, Dk. Fadhili Kabaya alithibitisha kupokea miili ya marehemu pamoja na majeruhi.
Alisema tukio hilo, lilitokea jana saa 6 mchana wakati mvua kubwa iliyoambatana na radi ikinyesha.
“Tumepokea majeruhi 15 wa tukio hili,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Natamani somo la kujiuzulu lifundishwe darasani
TAIFA hivi sasa lipo katika majadiliano makali ya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, wapo wanaona Rais Jakaya Kikwete hakufanya kilicho sahihi kwa kuwarejesha wale waliokuwa wakilalamikiwa kwa utendaji dhaifu, lakini...
9 years ago
Bongo516 Dec
Pasha arudi darasani kujifunza muziki
![12345887_1533819423602873_2031511668_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345887_1533819423602873_2031511668_n-300x194.jpg)
Muimbaji wa R&B, Pasha ameamua kurudi shule ili kujifunza jinsi ya kutumia vifaa vya muziki.
Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo ‘Mahaba Niue’ miezi michache iliyopita, ameambia Bongo5 kuwa ameamua kuingia darasani ili kutanua zaidi wigo wa muziki wake.
“Kuna center moja ipo huku Tabata ndio sehemu ambao nasoma. Najifunza kutumia vifaa vyote vya muziki kwa muda wa miezi sita,” amesema.
“Ni mafunzo ambayo nina imani yataniweka vizuri kimuziki kwa sababu sasa hivi muziki umebadilika kama...