Natamani somo la kujiuzulu lifundishwe darasani
TAIFA hivi sasa lipo katika majadiliano makali ya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, wapo wanaona Rais Jakaya Kikwete hakufanya kilicho sahihi kwa kuwarejesha wale waliokuwa wakilalamikiwa kwa utendaji dhaifu, lakini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDARASA: NARUDI DARASANI
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
Viongozi wa mitaa kuingizwa darasani
NA MARIA AROPE, DODOMA
KUFUATIA viongozi wa ngazi ya chini kutopewa semina elekezi na miongozo kabla ya kuanza, kazi shirika lisilo la serikali mkoani Dodoma la NGONEDO linatarajia kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za vijiji 1,580.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mratibu wa shirika hilo, Edward Mbogo, alisema viongozi hao watatoka katika vijiji 42 ambapo wananchi 350,000 watanufaika.
Alisema awamu ya kwanza ya mradi huo itaanza kutekelezwa katika wilaya za Kongwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq*48KI5tyzsSaWoFy0IBpgwwveuFlhvQllWGmAMTskix5C-v-9CPpPKAwfRjyvurdC0ZvSo9huhiRFje93tMCc*/denti.jpg)
DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI
11 years ago
Habarileo20 Apr
Shule taabani, walimu waishi darasani
SHULE ya Msingi Mwamashimba katika Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu Shinyanga, inakabiliwa na ukosefu wa vyoo, madawati na nyumba za walimu, hali inayosababisha baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba vya madarasa.
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Radi yaua wanafunzi sita darasani
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
WATU nane wakiwamo wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi.
Pamoja na vifo hivyo, wanafunzi wengine 15 wa shule hiyo walijeruhiwa vibaya.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni, Dk. Fadhili Kabaya alithibitisha kupokea miili ya marehemu pamoja na majeruhi.
Alisema tukio hilo, lilitokea jana saa 6 mchana wakati mvua kubwa iliyoambatana na radi ikinyesha.
“Tumepokea majeruhi 15 wa tukio hili,...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Wanafunzi St.Joseph wagoma kuingia darasani
NA SHAABAN MDOE,ARUSHA
ZAIDI ya wanafunzi 350 wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Joseph, tawi la Arusha, wamegoma kuingia madarasani kwa madai ya kufundishwa kwa mitalaa kutoka nchini India.
Mbali na hilo, wanafunzi hao ambao wanasomea ualimu, wanadai kufundishwa na walimu wenye fani ya uhandisi na kwamba huimbishwa nyimbo za darasa la kwanza, pili na tatu.
Kiongozi wa Chuo hicho, Bwigane Mwaipaja, alisema tokea mwanzo wa muhula wa masomo, walibaini kuwepo kwa mitaala tofauti katika chuo hicho.
Alisema...
9 years ago
Bongo516 Dec
Pasha arudi darasani kujifunza muziki
![12345887_1533819423602873_2031511668_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345887_1533819423602873_2031511668_n-300x194.jpg)
Muimbaji wa R&B, Pasha ameamua kurudi shule ili kujifunza jinsi ya kutumia vifaa vya muziki.
Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo ‘Mahaba Niue’ miezi michache iliyopita, ameambia Bongo5 kuwa ameamua kuingia darasani ili kutanua zaidi wigo wa muziki wake.
“Kuna center moja ipo huku Tabata ndio sehemu ambao nasoma. Najifunza kutumia vifaa vyote vya muziki kwa muda wa miezi sita,” amesema.
“Ni mafunzo ambayo nina imani yataniweka vizuri kimuziki kwa sababu sasa hivi muziki umebadilika kama...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Maadili yanachangia kufaulu au kuanguka darasani
WIKI iliyopita Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita ambayo yameonyesha ufaulu wa mwaka huu umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana.
Kwa mujibu wa matokeo hayo, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61 yaani yametoka katika asilimia 98.26 mwaka jana hadi asilimia 98.87 mwaka huu.
Matokeo hayo pia yaonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu kwa asilimia 98.56, huku wavulana wamefaulu kwa asilimia 97.26.
Hili ni suala la kujivunia...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Waliookolewa ajira za utotoni wafanya vizuri darasani