Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa mitaa kuingizwa darasani


NA MARIA AROPE, DODOMA
KUFUATIA viongozi wa ngazi ya chini kutopewa semina elekezi na miongozo kabla ya kuanza, kazi shirika lisilo la serikali mkoani Dodoma la NGONEDO linatarajia kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za vijiji 1,580.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mratibu wa shirika hilo, Edward Mbogo, alisema viongozi hao watatoka katika vijiji 42 ambapo wananchi 350,000 watanufaika.
Alisema awamu ya kwanza ya mradi huo itaanza kutekelezwa katika wilaya za Kongwa na...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA DAR

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty, akiongea na wanahabari katika hotel ya Landmark Ubungo jijini Dar leo.…

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yalaani vurugu kuapishwa kwa viongozi Serikali za mitaa

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam na Mbeya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa serikali za mitaa wanapaswa kulinda watoto dhidi ya ndoa za utotoni (2)

WIKI iliyopita katika tafakuri yetu hii, tulianza kujadili matokeo ya kukithiri kwa mimba za utotoni kama janga la kitaifa ambalo linasababishwa na kuwepo kwa mifumo ya kiutawala ambayo haijali na kuzingatia...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KATA NA MITAA WA MANISPAA YA DODOMA WAPIGWA MSASA JUU YA USIMAMIZI UENDELEZAJI WA MJI HUO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifungua warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA Ndg. Paskasi Muragili akitoa maelezo ya ufafanuzi juu ya warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye...

 

5 years ago

CCM Blog

VIONGOZI, WATENDAJI WILAYANI UBUNGO WANOLEWA KUWAONGEZEA UWEZO KATIKA USIMAMIZI NA UENEDESHAJI SERIKALI ZA MITAA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, Kisare Makori akifungua mafunzo elekezi kwa Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata na Wakuu wa Idara katika Wilaya hiyo, leo katika Ukumbi wa Little Flower, Mbezi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic. KWA PICHA ZAIDI ZA MAFUNZO HAYO, TAFADHALI>> BOFYA HAPA


Na Bashir Nkoromo, Ubungo
Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA‏

Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.  Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa… ...

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani