Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Darassa kuja na mradi wa ‘Magic Muziki’

Rapper Darassa amesema ameamua kuanzisha kundi la muziki liitwalo ‘Magic Muziki’ litakalokuwa likiunganisha wasanii wachanga na ambao atakuwa akiwasaidia kimuziki. Darassa amesema ameamua kuanzisha kundi hilo ili aweze kuwasaidia wasanii hao kwa pamoja. “Tayari kuna project kadhaa nimesharekodi, ngoma nimetunga mimi, nimewapeleka studio madogo na mpaka sasa kazi ipo safi. Hawa wasanii watakuwa wanaitwa Magic […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’

Kituo cha televisheni cha Maisha Magic cha DSTV, kinatarajia kuja na shindano kubwa la kusaka vipaji vya muziki Afrika Mashariki, ‘Maisha Superstar’. “This will be the revolutionary Talent Search Show East Africa has ever had. For the first time viewers will experience the real science behind making a platinum selling music act,” wameandika kwenye website […]

 

10 years ago

Bongo5

Jokate na Gaetano kuja na show yao Maisha Magic, December hii

Baada ya Salama Jabir kupata shavu la kuwa na show kwenye kituo cha runinga cha Maisha Magic, sasa ni zamu ya Jokate Mwegelo. Mtangazaji huyo anatarajiwa kuongeza show yake ya tatu katika TV (baada ya The One Show ya TV1 na Top 10 Most ya Channel O), itakayoanza kuonekana kupitia Maisha Magic, December mwaka huu. […]

 

10 years ago

Bongo5

Salama Jabir na Malonza (Kenya) kuja na show mpya Maisha Magic

Huenda mashabiki wa Salama Jabir hawataishia kumuona kwenye kipindi cha Mkasi peke yake. Staa huyo anaonekana kuungana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Stargame, Malonza Chege kwenye kipindi kipya Maisha Magic ambacho hakijajulikana kitaitwaje.

 

9 years ago

Bongo5

MB Dog kuja na documentary ya maisha yake ya muziki

MB Dog amesema anajipanga kuachia documendary itakayokuwa inazungumzia maisha yake ya muziki. Muimbaji huyo aliyewahi kuhit na ngoma kama ‘Latifa’ na ‘Si Uliniambia’ amesema ameamua kuachia documentary hiyo baada ya kuona mashabiki wanahitaji. “Awali kidogo Desso alifanya kama movie yake fulani hivi kwahiyo alifanya kama kunishirikisha ‘bwana njoo unipe support’, sasa kile kitu kikawa kimeniletea […]

 

10 years ago

GPL

TMK WANAUME HALISI KUJA NA TAMASHA LA MUZIKI IDD PILI

Muongozaji wa tamasha hilo, Ally Coco (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)pamoja na Rich One. Wanahabari wakichukua tukio. Wakisikiliza kwa makini. UONGOZI wa Kundi la Muziki la TMK Wanaume Halisi lenye maskani yao, Temeke…

 

9 years ago

Bongo5

Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’

nikki wa piliRapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele. Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’ “Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Lamar akiongelea mradi mpya wa Refix na muziki wa Tanzania

Tumezungumza na Lamar kuhusu mradi wake mpya wa Refix, mabadiliko ya muziki wa Tanzania, biashara kwenye kiwanda hicho na mambo mengine. Tazama interview hiyo hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

M-Net kuifunga Maisha Magic, kurudisha nguvu kwenye Maisha Magic Swahili

Kampuni ya M-Net imeamua kuchukua uamuzi mgumu kwa kutangaza kuwa itaifunga channel yake iliyoanzishwa mwaka jana, Maisha Magic. Sababu za kuifunga, ni kutokana na kushindwa kufanya vizuri kama ilivyokuwa ikitarajiwa. Channel ya Maisha Magic itafungwa mwishoni mwa March 2015. “Bahati mbaya, Maisha Magic haijafanikiwa na kukua kama matarajio yetu yalivyokuwa. Kwa jumla, channel ilishindwa kufikia […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Darassa – Komaa (Rmx)

Darasa - Komaa Remix

Rapper Darassa ameachia wimbo mpya unaitwa “Komaa (Rmx)”, Producer Sajo and Mr Vs

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani