Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dart kuanza safari jijini

Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) wamesema kuwa, mabasi machache ya mradi huo yataanza kutoa huduma zake kati ya Kimara hadi Kivukoni kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, Mkuu wa Mkowa wa Dar es salaam, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi na viongozi wa UDART wakikagua mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva  Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akifurahia kutimia kwa ndoto ya kuanza kwa mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva   Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi...

 

11 years ago

Dewji Blog

DART kuanza kutoa huduma mapema mwakani

Cap 2

Meneja Uhusiano Mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw. William Gatambi (kushoto) akiwaeleza  waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusu  maendeleo ya mradi huo ambao awamu ya kwanza itakamilika mwishoni wa mwaka huu. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.

Na Frank Mvungi- Maelezo

Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Kutoka Kimara mwisho...

 

9 years ago

Michuzi

MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART) KUANZA JANUARI 10, 2016.

MRADI wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) kuanza Januari 10, 2016 hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa wakati akikagua ujenzi wa miundo mbinu ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka leo jijini Dar es Salaam.
Pia Majaliwa amewaagiza watendaji wizara ya Tamisemi ambao ni wamiliki wa mradi huo kusimamia vyema ili uanze kufanya kazi kama ilivyo pangwa kwa kuwa mabasi 120 yalishawasili jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu ameanza kwa kukagua vituo vya mradi huo kuanzia cha Feri, Jangwani,...

 

11 years ago

Michuzi

Mabasi machache kuanza kutoa huduma kabla ya awamu ya kwaza kuisha - DART

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo aaraka (DART) umesema kabla ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi kukamilika, mwaka huu kutakuwa na mabasi machache ambayo yataanza kutoa huduma ya usafiri kutoka Kimara hadi Kivukoni.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa (DART), Bi. Asteria Mlambo aliwambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibu kuwa utekelezaji wa awamu ya kwanza unaendelea vizuri na kabla ya kukamirika hapo mwakani,kutakuwa na mabasi machache...

 

10 years ago

Michuzi

DART yaainisha mafanikio yaliyopatikana katika BRT, kuleta mabasi 76 Mwezi Septemba mwaka na kuanza rasmi kipindi cha mpito

Muonekano wa sehemu ya awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza Septemba mwaka huu. 
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeisifu serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete kwa mafanikio ya ujenzi wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza septemba mwaka huu. 
Mradi huu unatarajia kuboresha maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambalo limesongwa na...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ATANGAZA KUANZA SAFARI

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ametangaza kuanza safari ya kutimiza ndoto zake. Sikiliza hotuba yake ya mwaka mpya 2014 hapo juu!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safari za treni kuanza leo

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko zitaanza leo. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji wa programu hiyo, Joseph Migunda. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwaonyesha kipeperushi kinachoonyesha kitika cha shilingi 2200,000 000/= zitakazogawiwa kwa wajasiliamali wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani