DAVINA ATESWA NA MUVI ALIYOCHEZA NA KUAMBIANA

Na Hamida Hassan STAA wa sinema za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kifo cha mwigizaji Adam Kuambiana kinampa majonzi zaidi kila anapofikiria muvi waliyocheza kwa mara mwisho na marehemu. Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ akiangusha kilio katika msiba wa Kuambiana. Akieleza masikitiko yake, Davina alisema kabla Kuambiana hajapatwa na umauti, waliigiza naye sinema ya Stupid...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
IRENE PAUL ATESWA NA BIFU LA KUAMBIANA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
JB ATESWA NA MAJUNGU
11 years ago
GPL
TIKO ATESWA NA MKOROGO
10 years ago
GPL
CATHY ATESWA NA UPWEKE!
11 years ago
GPL
SHAMSA ATESWA NA GENEVIEVE
10 years ago
GPL
MREMBO ATESWA UARABUNI