Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa ni kuung’oa moyo wa jipu ili lisiote tambazi

Habari kuhusu watendaji wakuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kutimuliwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) baada ya kutoa majibu yasiyoridhisha, inasikitisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Lishe asili ni dawa ya wagonjwa wa moyo

Lishe asili na chakula ambacho hakijapitia viwandani inaimarisha siha yawagonjwa waliopatwa na mshtuko wa moyo

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi

Wiki hii imekuwa na habari njema na ya faraja kwa dunia katika kupambana na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa ya kupaka ili kuzuia HIV haifai

Dawa iliokisiwa kupunguza uwezekano wa mwanamke kupata virusi vya HIV wakati wa tendo la ngono haifai,utafiti umesema

 

9 years ago

Dewji Blog

WHO yatoa dawa za milioni 42.2 ili kupambana na Kipindupindu nchini

unnamed

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Donan Mmbando (katikati) akipokea msaada wa dawa za kuthibiti maambukizi ya kipindupindu kutoka kwa mwakilishi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dr. Rufaro Chatora(kulia). Kushoto ni Mganga Mkuu kutoka Wizara hiyo Dkt. Margaret Mhando.(Picha na Ally Daud).

Na Ally daud-Maelezo

Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii imepokea msaada wa  dawa  za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini kutoka Shirika la Afya Duniani zenye thamani...

 

5 years ago

CCM Blog

ARUSHA YAZINDUA ZOEZI LA KUPULIZIA DAWA MABASI YA ABIRIA ILI KUKAPILIANA NA CORONA

  Jiji la Arusha nchini Tanzania limeanza operesheni ya  kuyafanyia usafi  magari ya abiria kwa kuyapulizia dawa ya kuzuia virusi ugonjwa wa corona.
Shughuli ya kuyapulizia dawa imeanza jana  Ijumaa Machi 27,2020 na kuongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Fabian Daqarro.
Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa utakuwa endelevu na utashirikisha wadau ambao tayari wameanza kutoa michago yao kuwezesha zoezi hilo.
Aidha Daqarro amewataka wananchi kutokuwa na taharuki na...

 

9 years ago

StarTV

 Duka la dawa lafunguliwa jijini Arusha ili kusogeza huduma karibu na wananchi

 

Bohari kuu  ya dawa  imefungua duka  la dawa  jijini Arusha  litakalohudumia mikoa ya kanda ya  kaskazini.

Kuanzishwa kwa duka hilo ni utekelezaji wa agizo la rais lililowataka  watendaji waliopo katika sekta  ya afya kusogeza huduma ya upatikanaji wa dawa jirani na wananchi.

Akizungumza katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya  Mount Meru mahali lilipo duka hili Meneja wa bohari kuu ya dawa kanda ya kaskazini Selestine Haule amesema kuanzishwa kwa duka hili kutarahisisha upatikanaji wa dawa...

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA MOYO WALIOPATWA NA CORONA


Na Mwandishi maalum – Dar es Salaam24/04/2020 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa  wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo  cha  watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam.Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Janabi alipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kuona ni namna gani wataalamu wa Taasisi yake wataweza kutoa huduma kwa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani