ARUSHA YAZINDUA ZOEZI LA KUPULIZIA DAWA MABASI YA ABIRIA ILI KUKAPILIANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9mBmAgEU44M/Xn8dTREj-gI/AAAAAAAC17w/xTWcvu_j3686Q5OqvJxc4Uyfkt1h9XM_ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Jiji la Arusha nchini Tanzania limeanza operesheni ya kuyafanyia usafi magari ya abiria kwa kuyapulizia dawa ya kuzuia virusi ugonjwa wa corona.
Shughuli ya kuyapulizia dawa imeanza jana Ijumaa Machi 27,2020 na kuongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Fabian Daqarro.
Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa utakuwa endelevu na utashirikisha wadau ambao tayari wameanza kutoa michago yao kuwezesha zoezi hilo.
Aidha Daqarro amewataka wananchi kutokuwa na taharuki na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZJG-jMYT2_g/Xn7k78Fk2gI/AAAAAAALlWg/lHJ-IoXwSTMMcUUhJhEELU6iKlKrPEPqQCLcBGAsYHQ/s72-c/0335e4ed-ca65-407b-a452-afedd86344fc.jpg)
ARUSHA YAZINDUA ZOAEZI LA KUPULIZA DAWA KUUWA VIJIDUDU NA KUWAKINGA ABIRIA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Na Jusline Marco;Arusha
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Gabriel Daqarro amezindua zoezi la upulizaji wa dawa ya kuuwa vijidudu kwa lengo la kuwakinga abiria na maambukizi ya virusi vya Corona pindi wanapotumia vyombo vya usafiri.
Zoezi hilo limezinduliwa leo rasmi kwa mabasi yanayotoka Jiji la Arusha kuelekea mikoa mingine , pamoja na vyombo vingine vya usafiri wa umma vinavyotumika katika safari za ndani ya Jiji la Arusha.
Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aZqqb1RNZEU/Xn3BwmXC81I/AAAAAAALlQ8/JhDQ7B5p2cwFAAxTyOWJaAu2lCvavNKewCLcBGAsYHQ/s72-c/65d8da03-ab8f-4cdd-8a6b-ae0242671671.jpg)
KINONDONI YA PAMBANA NA CORONA KWA KUPULIZIA DAWA KWENYE MAENEO YA MIKUSANYIKO
Zoezi hilo limefanyika katika maeneo mbalimbali ikiwemo makazi ya wananchi , maeneo ya kutolea huduma mbalimbali ikiwemo masoko sambamba na kwenye mikusanyiko ya watu hususani Kanisani na...
5 years ago
MichuziTUNAANZA RASMI ZOEZI LA KUPULIZA DAWA YA KUUA WADUDU NA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA KESHO-RC MAKONDA
RC Makonda amesema kwa kufanya hivyo itasaidia pia kuua Vimelea na Wadudu kama Mbu wanaoenzeza ugonjwa wa Malaria, homa ya dengu na magonjwa mengineyo na kufanya jiji hilo kuwa katika hali nzuri...
9 years ago
StarTV04 Jan
 Duka la dawa lafunguliwa jijini Arusha ili kusogeza huduma karibu na wananchi
Bohari kuu ya dawa imefungua duka la dawa jijini Arusha litakalohudumia mikoa ya kanda ya kaskazini.
Kuanzishwa kwa duka hilo ni utekelezaji wa agizo la rais lililowataka watendaji waliopo katika sekta ya afya kusogeza huduma ya upatikanaji wa dawa jirani na wananchi.
Akizungumza katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru mahali lilipo duka hili Meneja wa bohari kuu ya dawa kanda ya kaskazini Selestine Haule amesema kuanzishwa kwa duka hili kutarahisisha upatikanaji wa dawa...
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Mabasi yatelekeza abiria UBT
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-97x_7MKyM_k/VI3j_2vTMgI/AAAAAAAG3NE/YUuAU1kg5cE/s72-c/unnamed..jpg)
Scania yakutanisha wadau wa mabasi ya Abiria
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mafuriko yasomba reli, abiria watumia mabasi
11 years ago
Habarileo23 Feb
Mashine za EFDs ‘kung’ata’ mabasi ya abiria
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mchakato wa kuanzisha mfumo wa mashine za kieletroniki (EFD) katika utoaji wa risiti kwenye mabasi ya abiria, kasino na magari ya mizigo. Pamoja na kuelezea utanuzi wa wigo wa matumizi, pia imesema itapambana na wafanyabiashara wote watakaokataa kutumia mashine hizo kwa lengo la ‘kukwepa kodi’.