Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAWA YA WANASIASA HII HAPA!

Duniani kuna binadamu halafu kuna wanasiasa. Binadamu wengi huwa wanajitahidi kuwa wanasiasa na siku hizi kila kona wamejaa na wanaboa kweli. Kazi kubwa ya wanasiasa ni kuongea, wakitumia midomo yao, wanaweza kukufanya uamini kuwa wao ndiyo wanajua kila kitu. Tena wanasiasa wengine huwa wanafikia kuamini wanajua kila kitu. Ukimuuliza kuhusu kilimo anajua, uvuvi anajua, teknolojia yoyote anajua, we anzisha mada mwanasiasa anajua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Utawatengaje hawa wanasiasa na biashara ya dawa za kulevya?

Biashara ya dawa za kulevya ni miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakitendeka hapa nchini, huku watu wengi wakiyatafsiri kwamba hufanyika kwa masilahi ya kundi fulani la watu, hasa wanasiasa. 

 

9 years ago

MillardAyo

TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote..

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali pamoja na zile jitihada za kuhakikisha Tanzania inakuwa na makusanyo mazuri ya mapato ya Serikali imekuja na good news leo January 06 2016. Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango aliwahi kunukuliwa akisema ni aibu kwa kiongozi wa nchi kwenda nje ya […]

The post TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Nchi hii si ya viongozi au wanasiasa pekee

Ninapofuatilia kadhia wanazokumbana nazo Watanzania karibu kila kona ya nchi hii, nabaki nikijiuliza hivi nchi hii ni kwa ajili ya nani hasa?

 

10 years ago

Vijimambo

HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO

Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano iliyopita baada ya kuona anaishi kwa dhiki na anatengwa na baadhi ya watu.“Nilijitengenezea jeneza langu...

 

10 years ago

Vijimambo

JITIRIRISHE NA HII HAPA NA WEWE

Habari ndiyo hii ((The Fruit of Education are Sweet )) kazi kwako ujumbe umefika huo tena live bila chenga.

 

11 years ago

GPL

First Eleven Yanga hii hapa

Charles Mkwasa(katikati). Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Charles Mkwasa kujiunga na Yanga akitokea Ruvu Shooting, amekianika kikosi chake cha kwanza ambacho inaonyesha ndicho atakachokitumia.
Kikosi cha kwanza, maarufu kama First Eleven chini ya Mkwasa, kinaonekana kuwa na mabadiliko kidogo sana.…

 

9 years ago

GPL

SIRI YA MGAWO WA UMEME HII HAPA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba. Wakati watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa wakilishutumu Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kutokana na hali mbaya ya kukatika ovyo kwa umeme, imebainika kuwa chanzo cha tatizo hilo ni uzalishaji duni wa nishati hiyo katika mabwawa na vyanzo vingine vyote vinavyotegemewa na shirika hilo. Kadhalika, imeelezwa kuwa maamuzi mbalimbali ya kisiasa ndiyo yanayochangia kwa kiasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siri ya posho nono hii hapa

WAKATI wananchi wakiendelea kujadili hatua ya baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutaka waongezwe posho, siri imefichuka kwamba huo ni mkakati wa makusudi uliopangwa na serikali kwa lengo la...

 

10 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba mpya hii hapa

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, imewekwa hadharani huku Muungano uliogeuka hoja kuu wakati wa mjadala wa Rasimu ya Pili ya Katiba, ukibadilishwa na kuwa na baadhi ya sura mpya za kimuundo na kiutendaji, ambazo hazijawahi kupendekezwa katika historia ya Muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani