First Eleven Yanga hii hapa
![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-9gomRg5zTPr1UFqj9Brmqx1Nci*RGzupHJr41rfnF1yxLOj8oX85hVQSZimpXNNQyWkUPNIhi9IWSMdCWJlr3U/YANGA.jpg?width=650)
Charles Mkwasa(katikati). Na Sweetbert Lukonge SIKU chache baada ya Charles Mkwasa kujiunga na Yanga akitokea Ruvu Shooting, amekianika kikosi chake cha kwanza ambacho inaonyesha ndicho atakachokitumia. Kikosi cha kwanza, maarufu kama First Eleven chini ya Mkwasa, kinaonekana kuwa na mabadiliko kidogo sana.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFirst Eleven ya Pluijm Yanga SC hii hapa
5 years ago
MillardAyo10 Mar
Hii ndio first eleven ya Brazil Kombe la Dunia 2018, Firmino na Silva Out !!!
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!
Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..
9 years ago
MillardAyo06 Jan
TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote..
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali pamoja na zile jitihada za kuhakikisha Tanzania inakuwa na makusanyo mazuri ya mapato ya Serikali imekuja na good news leo January 06 2016. Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango aliwahi kunukuliwa akisema ni aibu kwa kiongozi wa nchi kwenda nje ya […]
The post TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote.. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo20 Jan
HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...
10 years ago
Vijimambo08 Apr
YANGA HII NI TAMU ZAIDI YA MCHARO COASTAL WAGEUZWA CHIPS FUNGA WAPOKEA 8 SAWA NA TAREHE YA MCHEZO WAO NA YANGA.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/yanga-jjjj1.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxysWeGkj*7x-PExTeMFRw56hEKFfiQyppYxycpqLQMfxIh9ZwUD0K7OqE6yiAL5VIUP9S*P3Vphr9wjMXMKauQw/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
DAWA YA WANASIASA HII HAPA!