Dayna atoa sababu iliyochelewesha kushoot video ya ‘Nitulize’
Dayna Nyange ameitaja sababu iliyochelewesha kuanza kushoot video ya wimbo wake ‘Nitulize’ aliomshirikisha Nay Wa Mitego’ ambao ulitoka mwezi April mwaka huu.
Muimbaji huyo anayeuwakilisha mkoa wa Morogoro amesema kilichomchelewesha kushoot video hiyo ni uchaguzi.
“Uongozi wangu ulibadilisha ratiba ya kushoot video hiyo ili kupisha uchaguzi upite, kwa sasa kila kitu kimekamilika ila siku ya kuzindua rasmi siitaji maana nataka iwe sapraizi, mashabiki wakae mkao wa kula tu,” alisema...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
9 years ago
Bongo501 Dec
Kassim Mganga aeleza sababu za kushindwa kushoot video ya ‘Subira’ Tanga kama alivyoahidi
![caa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/caa-300x194.jpg)
Mwezi April mwaka huu Kassim Mganga aliahidi kuwa video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella ingefanyika nyumbani kwao Tanga, lakini haikuwa hivyo.
Kassim ameeleza chanzo cha mpango wa kwenda kushoot Tanga kushindikana.
“Video ilikuwa twende kuifanyia Tanga lakini tulishindwa kutokana na nafasi ya Adam,” alisema Kassim kwenye mahojiano na Millard Ayo. “unajua nilikuwa nataka kuipata ile picha ya Pwani kabisa yenyewe halisia na nilitaka twende kuifanya Pangani nyumbani...
10 years ago
Bongo506 Oct
Jokate awaomba mashabiki wamvumilie kwa kuchelewa kutoa video yake, atoa sababu zilizoichelewesha
9 years ago
Bongo514 Nov
Ommy Dimpoz atoa sababu za wasanii wa Tanzania kutumia models wa nje kwenye video zao
![Ommy na model wa ndagushima](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ommy-na-model-wa-ndagushima-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz ni kati ya wasanii wa Bongo ambao wameshoot video zao kadhaa nje ya Tanzania kwa kutumia waongozaji pamoja na video models wa nje.
Ommy Dimpoz na model wa ‘Ndagushima’ Sofia Skvortsova
Wengi wanaamini upo uwezekano wa wasanii kuamua kusafiri na models kutoka nyumbani kama ambavyo husafiri na dancers wao kwenda kushoot video nje, lakini Ommy Dimpoz ana sababu za kwanini hushindwa kufanya hivyo.
“Mara nyingi models wa nje wako proffesional wanaweza kucheza character zote ambazo...
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Hii Ndio Sababu ya Kampunti ya Jerusalem Kusimama Kushoot Movies kwa Miaka Miwili
Staa mkongwe wa Bongo movies , Jacob Stephen ‘JB’ambaye pia ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem ameyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni.
"Wapenzi wa Jerusalem, tukifanikiwa kumaliza shooting za movie mbili za Watani wa Jadi na ile ya Mzee Majuto.
Tutaanza kushoot tamthilia yetu ambayo itatuchukua muda mrefu mpaka mwakani, hatuna ratiba ya kushoot movie nyingine.kwa mwaka huu na ujao,"JB ameandika.
11 years ago
Bongo509 Jul
Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)
11 years ago
Bongo502 Aug
New Music Video: Dayna — I DO
11 years ago
GPL02 Aug
9 years ago
Bongo520 Nov
Director Enos Olik wa Kenya azungumzia kuhusu wasanii kushoot video SA, na baadhi ya video kutoka EA kutochezwa Trace na MTV Base
![enos4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/enos4-300x194.jpg)
Enos Olik ni muongozaji na mtayarishaji wa video za muziki kutoka Kenya, ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Afrika kuanzia A-list hadi wale wa kawaida.
Shaa, Young Dee, Alikiba na Christian Bella ni baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wameshampa ulaji director huyo kufanya video zao. Video zingine alizofanya ni ‘Kioo’ ya Jaguar, ‘Sura Yako remix’ ya Sauti Sol na Iyanya, ‘Never Been Loved’ ya Maurice Kirya, ‘Touch Me There’ ya Redsan ft. Nyla na zingine kadhaa wa kadhaa.
Bongo5...