Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Arusha amfagilia aliyetangaza nia CCM

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Christopher Kangoye na diwani wa Kata ya Terat jijini hapa, Julius Ole Sekeyan wamemfagilia mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Philleon Mollel kuwa ndiye kiongozi anayetakiwa katika Jiji la Arusha sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM ARUSHA YATOA ONYO KWA WALIOTANGAZA NIA ARUSHA MJINI

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha,Feruz Bano (kushoto) akimkabidhi kitabu cha kanuni za uchaguzi wa CCM mgombea aliyetangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute jana ofisini kwake mara alipofika kujitambulisha na kutangaza nia. mgombea aliyetangaza kuwania nafasi ya ubunge kupitia CCM katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya katibu wa chama hicho wilayani Arusha jana alipofika kujitambulisha na kutangaza ...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN

SAM_4061Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).SAM_4098Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KUTANGAZA NIA LEO ARUSHA

Wananchi wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo....wakiendelea kuingia uwanjani hapo.Uwanja umependeza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Milipuko ya mabomu Arusha ina nia gani?

WAKATI matokeo ya uchunguzi wa milipuko ya mabomu ya awali katika Jiji la Arusha hayajajulikana, mlipuko mwingine wa bomu umetokea jijini humo na kujerhi vibaya watu zaidi ya 17 waliokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waliotangaza nia CCM kikaangoni

>Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini.

 

10 years ago

Habarileo

Watangaza nia waipunguzia kazi CCM

Wajumbe wa CCM wakiwa katika mkutano mkuu.IDADI kubwa ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetajwa kutoa ahueni kubwa kwa vikao vya uamuzi na hasa Kamati Kuu, katika kufanya mchujo wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliotangaza nia CCM waguswa na kauli ya JK

Siku moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kudokeza kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu ni yule ambaye hajajitokeza mpaka sasa, makada wa chama hicho waliotangaza nia ya kugombea urais wamesema wana uwezo na sifa za kugombea nafasi hiyo, huku wasomi wakija na mtazamo tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani