Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Geita amshukia Mwenyekiti wa CCM Mkoa

IKIWA ni siku chache Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma kufanya mkutano wa hadhara kiwanja cha shule ya Msingi Kalangalala na kumtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Geita (DC),...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Ohilip Mangula akiteta jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanalu Mstaafu Ngemela Lubinga wakati wa uzinduzi wa  jengo la  ofisi ya CCM mkoa wa Geita



15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na  viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.

Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Biharamulo mjini ikiwa siku ya mwisho ya ziara ya siku 10 mkoani Kagera ambapo alizungumzia changamoto mbali mbali zikiwemo za Bei ya Kahawa, Leseni za Bisahara na Boda Boda, Urahisishwaji wa Biashara mipakani , Katibu Mkuu aliwataka wananchi wa Biharamulo kuacha siasa za kishabiki badala yake kuchagua viongozi wanaofaa na watakaoleta maendeleo.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti CCM Geita achochea vurugu

SIKU chache tangu wananchi waliovamia eneo la Nyantorotoro kutakiwa kuondoka mara moja kumpisha mwekezaji mwenye leseni Majaliwa Maziku kufanya shughuli zake, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Msukuma amewahamasisha...

 

9 years ago

Michuzi

Salamu za Rambi rambi kufuatia Kifo cha mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita Ndugu Alphonse mawazo

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole Makamanda wenzangu wote ikiwemo Viongozi wa Chadema Makao Makuu, Viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa, Viongozi wa Chadema Mkoa wa Geita na wapenda Mabadiliko wote Tanzania kufuatia  kifo cha Kamanda Alphonse Mawazo kilichotokea leo tarehe 14 Novemba 2015. Kwa kweli nimepokea taarifa ya kifo cha Kamanda Mawazo kwa mshtuko mkubwa hasa kutokana na mazingira ya Kifo chenyewe ambayo inasemekana ameuawa kwa kuvamiwa na kupigwa na Nondo na Mapanga na kusababisha...

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM mkoa kuwania ubunge

JOTO la ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini limeanza kupanda baada ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu kuthibitisha kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu mwakani.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA SINGIDA ATIMKIA CCM


Mjumbe wa Kamati Kuu na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Munde Tambwe (kulia) akimkabidhi kadi ya CCM, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Shabani Limu baada ya kujiunga na chama hicho mwishoni mwa wiki.

Mjumbe wa Kamati Kuu na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Munde Tambwe, akionesha kadi ya Chadema baada ya kukabidhiwa.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani